Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu Naomba kuuliza ni sababu zipi au vigezo vipi vinavyowez fany uzi fulani kufutwa.? Maana jana kuna uzi nilianzisha na ulikuwa na mwendelezo ambao nliplan kuendeleza leo lakin pia kulkuwa na...
0 Reactions
2 Replies
943 Views
Hili suala tunarudia kuwarekebisha kila siku, lakini hamkomi, sasa naomba TCRA na uongozi wa chuo mkichukulie hatua kituo hiki kinachofanya kosa hili kila siku, aliendaa hiyo habari aende jela kwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Pamoja na malalamiko yote ya wadau wa uchumi kuhusu ukweli wa kuporomoka kwa kasi ya radi kwa uchumi wa Tanzania , bado Kariakoo ya jijini DSM kuna nafuu kubwa sana ya mzunguko wa pesa Taarifa...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Dar/ Nairobi. Ukanda wa hifadhi za Taifa za Serengeti na Maasai Mara nchini Kenya ambao una mojawapo kati ya maajabu manane ya dunia yanayovutia watalii, unakumbwa na tishio la kimazingira...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Wadau, Huo ndiyo utaratibu wa familia ya kifalme nyingi za kifalme ikiwemo Uingereza. Nafasi ya kuitwa "Binti Mfalme" au "Mwanamfalme" yawastahili wale tu waliobahatika kuoa au kuolewa ndani ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wadau Timu ya madaktari Bingwa wa upasuaji kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili wamepiga kambi katika hospital ya rufaa Sokoine Lindi ili kupambana na kutokomeza ugonjwa...
0 Reactions
3 Replies
951 Views
Wadau Jumla ya Wanafunzi 95 wa Shule za Sekondari Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro wamepewa mimba katika kipindi cha kuanzia January- October 2017 na hivyo kukatizwa masomo yao. Watuhumiwa bado...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Dua yangu kwako mungu wangu.... wa babu zangu...... muongoe huyu Al-watan. Ana upeo wa hali ya juu ila umeelekezwa sipo. Hakujui wewe baba wala uwepo wako. Namuombea aujue uzima wa milele. Na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ukiwa mpole sana unaitwa zoba Ukiwa mdadidisi sana unaitwa mjuaji Ukiwa mtu wa black and white unaitwa mchuro Ukiwa na self initiative unaitwa anajipendekeza Ukiwa smart ( physical and...
1 Reactions
6 Replies
990 Views
Wakala wa huduma ya misitu Tanzania TFS wilaya ya Kilwa mkoani Lindi, imekamata mbao zaidi ya vipande mia moja aina ya Mkongozene ujazo wa Cubic mita 7,4 zenye thamani ya shilingi 2,500,000...
1 Reactions
24 Replies
7K Views
tukiwa tunaelekea mwishoni mwa mwaka 2017 matukio ya uhalifu katika jiji la DSM na haswa pembezoni mwa jiji kama vile kibamba, kiluvya n.k kumekuwa na matukio ya uhalifu kila kukicha!! Tunaomba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mfumo wa Rais wa Kukusanya Mapato Kielekroniki eRCS umepaisha mapato ya kodi ya makampuni ya simu kwa 102% Na Mwandishi wetu Mfumo wa Kukusanya Mapato Kielekroniki (eRCS) umeonyesha mafanikio...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linakanusha Taarifa inayosambaa katika mitandao ya kijamii ikiwataka Wateja kununua Umeme kwa wingi kutokana na zoezi linaloendelea la kubomoa Ofisi za Makao...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Niliuzwa kama mtumwa mara tatu Chad na Libya' 29 Novemba 2017 Mshirikishe mwenzako Harun Ahmed 27, now in GermanyHaki miliki ya pichaHARUN AHMED Harun Ahmed ni mmoja tu kati ya maelfu ya vijana...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni condition ambayo mtu/mtoto anashindwa kuandika,kusoma ama spelling, nimeiona hii nikafikiri, labda wale wanaosemwa wamemaliza elimu ya msingi bila kujua kusoma,wana hili tatizo...... Mzigo...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imemhukumu kifungo cha miaka 10 jela mfanyabiashara Gairo Mtozoma (43) kwa kosa kupatikana na silaha na risasi kinyume cha taratibu. Mshtakiwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
1. Harar, Ethiopia 2. Jimbo la Jujuy, Argentina 3. Tbilisi, Georgia 4. Sydney, Australia 5. Oaxaca, Mexico 6. Viena, Austria 7. North Shore Oahu, Hawaii 8. Malmo, Sweden 9. Jordan Trail...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Raisi kashajua watumishi wa tanzania ni mazuzu. Kwamba mshahara tunapata kwa ajili ya chakula na hatuna jinsi hatuwezi kuacha kazi. Kwa huo mtazamo raisi kashawaona watumishi walala hoi, watoto...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habari? Kama nilivyotangulia hapo nategemea kufika mkoa wa Morogoro kuanzia mwezi January, 2018 hasa katika shughuli hiyo ya kilimo, hasa mboga mboga. Naombeni wenyeji mnijuze ni wilaya ipi...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
I think kuna tatizo Bandarini
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom