Kwanini wanawake wenye ndevu hawapendagi kuzinyoa?

Kwanini wanawake wenye ndevu hawapendagi kuzinyoa?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Waliooa wanawake wenye ndevu tusaidieni kitu.

Ndevu zao hunyolewa au huwa hazikui?

Wengi hawapendagi kuzinyoa ili tusiwatofautishe na waume zao!

Lkn inakuwaje unaoa mwenye ndevu aisee?

Wawe wanasafisha videvu vyao basi.
 
Mimi mwanamke mwenye ndevu namwogopa nikiongea naye kumwangalia naogopa [emoji23] [emoji23] .

Sasa na wewe hii thread ndiyo ya kuwekea news alert??
 
Wanaogopa kuzinyoa zinasambaa kwny kidevu chote
 
Waliooa wanawake wenye ndevu tusaidieni kitu.

Ndevu zao hunyolewa au huwa hazikui?

Wengi hawapendagi kuzinyoa ili tusiwatofautishe na waume zao!

Lkn inakuwaje unaoa mwenye ndevu aisee?

Wawe wanasafisha videvu vyao basi.

hahaaaa nadhani huwa wanapatwa nahofu yakuzinyoa kwakuamini kuwa wakizinyoa nisawa nakuziwekea mbolea ..nakuzifnya zikiota tena zitaota kwawingi nakujaa kidevuni
 
Wanaogopa kwa sababu kunyoa ni sawa na kutia mbolea kidevu,kwa hiyo inaweza kupelekea kufanana 100% na videvu vya waume zao.
 
Vyuma vimekaza.. Usidhan ni rahisi kunyoa ndevu. Buku tano kila week. So wameamua kuziacha tu
 
Back
Top Bottom