This is how ''corruption'' begins

This is how ''corruption'' begins

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,029
Reaction score
46,326
24312926_2014081482210185_2892431990120515823_n.jpg

RUSHWA HUANZAJE KWENYE SYSTEM?
1.Unaachiwa maziwa au unamuachia mtoto wako mkubwa chakula cha mdogo anakula chote,
2.Monitor darasani anawapanga wengine ratiba za usafi lakin rafiki yake hampangi kwenye ratiba ya usafi
3.Mwalimu wa stard za kazi au sanaa anawatuma mayai nyumbani anawapa marks za kutosha wakati waliyochonga sanaa za mwiko wanapata 10 au 20, huu ujinga huleta rushwa

Haya yote ndo yamepekea watotot hao kukua na kuwa viongozi wakubwa wakatuibia kwenye RICHMOND au KAGODA , MIGODI au kujimilikisha Lunch, ufisadi uanza hivyo

Usishangae yule wa RICHMOND alikuwa nakunywa maziwa ya mdogo wake, au aliiba sana penseli za wenzake hapo shule Tabia ikakua haikukemewa kabisa ikaleta madhara kwa taifa,
 
Unashinda Uchaguzi kwa kutumia Rushwa.
Then ukishakua kiongozi tu we na Rushwa mnakua......
CCM na Rushwa.jpg
 
Back
Top Bottom