SUMATRA: Taarifa ya njia mpya jijini Dar es Salaam 2018

SUMATRA: Taarifa ya njia mpya jijini Dar es Salaam 2018

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
taarifa.jpg
taarifa2.jpg
 
gongolamboto - kawe
tabata-masaki/msasani/kawe
nauli elekezi
 
Wamebuni nini sasa? jiji hili kubwa. Mbagala/G-Mboto je?
 
Sumatra wapo kwaajili ya wilaya ya Kinondoni Tu jaribuni kuangalia na huku wilaya ya temeke hasa maeneo ya mbagala na vitongoji vyake
 
Baada ya daraja la kigamboni kuanza kutumika rasmi zilitangazwa ruti mpya ambazo ni Kigamboni kwenda Kariakoo, Stesheni, Temeke na Mbagala rangi tatu zote kupitia kwenye daraja. Lakini ajabu mpaka leo mimi binafsi sijawahi kuyaona hayo mabasi yakienda hizo ruti isipokua Kigamboni - Machinga complex.
 
Hizi ofisi siku hizi hazina mihuri jmn...?
 
waanzishe na T/Kimanga, Segerea-Masaki.
Watu tunalipa 800 utafikiri tunaenda Kibaha wakati wqtu wanatoka masaki hadi g/mboto kwa 600 tu.
Sioni sababu ya mtu wa magomeni kutumia nagari mawili kwenda tabata, lingekuwa moja tu.
 
Ipo vizuri
Hongera Sumatra
Lakini ninavyojua nyingi ya hizi route au njia tayari zinahudumiwa na daladala nyingi. Tatizo kubwa la usafiri ni route ya Mpigi Magohe hadi Mbezi Lou's magari ni machache kulinganisha na wingi Wa abiria Ingebidi SUMATRA wafanye market research ya hizi njia

.
 
Back
Top Bottom