Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu naomba kuwafikishia swali langu kwenu. Naomba kujua kwa wale wenye uelewa kwenye masuala ya line za kimataifa. Kwa mfano ukiwa nje ya Tanzania kama unataka kutumia line za Tanzania kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwaka 1998 "Google" walitaka kuiuza kampuni yao kwa "Yahoo" kwa dola Milioni 1 (sawa na Shilingi Bilioni 2) lakini Yahoo wakakataa. Yani Yahoo wakakataa kuinunua Google. Mwaka 2002 Yahoo...
25 Reactions
32 Replies
4K Views
Miili ya wanajeshi 14 wa Tanzania imewasili muda huu katika uwanja wa ndege wa Jeshi la wananchi JWTZ. =>Miili imewasili kupitia ndege ya UN =>Wanajeshi wamejitanda uwanjani tayari kupokea miili...
5 Reactions
121 Replies
19K Views
Wakuu salama, Kwanza nianze kwa kusema kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake na Sikuzote mwenye kisu kikali ndio Atakula nyama.Ivo nayaandika haya Sio kwamba nataka direct support hapana Nataka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuongoza waombolezaji kuaga miili ya askari 14 waliouawa na waasi wa ADF nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Shughuli ya kuaga miili ya askari...
0 Reactions
2 Replies
790 Views
Waswahili tunapenda sana mteremko na kazi ngumu hatutaki, tunapenda vilivyojengwa na wengine, ndo maana wanataka kung'ang'ania Dar ambayo tayari ilishajengwa kwa sehemu kubwa na Muzungu, Waarabu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amos Makalla amesema Serikali ya Indonesia imeonyesha nia ya kushirikiana na uongozi wa mkoa wake kuwekeza katika sekta ya kilimo, biashara na viwanda. Makalla alidokeza...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
MCHUNGAJI na waumini wa Kanisa la The Evangelistic Assemblies of God (EAGT) mtaa wa Eden 'A' Manispaa ya Sumbawanga, Rukwa, wamekesha wakimuombea marehemu wao afufuke, wakidai alikufa kwa nguvu ya...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Mimi ni miongoni mwa wakulima wanaolima kwenye bonde la mto Wami, hapa Wami Dakawa. Nimejitokeza hapa kuomba msaada kwani kuna clue ya tembo wapatao 13 wanaharibu mazao ya watu na kuleta umaskini...
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Habari. Nimechungulia kidogo TBC na kukuta hili tukio la UFUNGUZI WA TAWI LA BENKI YA CRDB Dodoma. Nimemsikia JPM akisema Jiji la Dodoma. Swali: Ni lini Dodoma imekuwa jiji na ni lini lini...
5 Reactions
24 Replies
6K Views
Humanitarian aid workers tukutane hapa , ili ku-share experiences ya chungu na tamu tulizokutanan nazo fields. iwe ndani au nje ya nchi..... fields kama South Sudan, Iraq, Yemen, Bangladesh...
2 Reactions
3 Replies
920 Views
Kila nyakati katika historia inapita, Ina uthamani wake na ina utofauti wake. Nyakati moja inaweza ikawa ndio mwanzo katika mabadiliko kwa nyakati nyingine ya kibinadamu, kiutawala, kiuchumi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mamlaka ya bandari nchini TPA imesema imeweka gharama za chini kabisa kwa wateja wanaotumia bandari hiyo ili kuhakikisha kuwa mizigo mingi zaidi inapita katika bandari ya Dar es Salaam na kuongeza...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Jiji letu nimepokea ugeni mkubwa kutoka China mji wa BENXI,ambao ni group la wawekezaji wa sector ya viwanda ,Madini na Utalii.Baada ya mazungumzo ya muda marefu tulibadilisha Investor's Guide...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama ambavyo mnagawa condoms bure mahospitalini, magesti vivo hivyo mgawe na pedi za bure jamani. Always pads zilishushwa from 2000tshs to 1500tshs,cha ajabu wauzaji mmeng'ang'ana na kuuza...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Watanzania tunapenda kujikuza sana kielimu!Nafikiri kusini kwa jangwa la sahara ni sisi tu!Hata Wanaigeria wanaosifika kwa scams ,huwezi ukakuta mtu amefoji Phd maana wao elimu yao bado ni...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Kufanikiwa ni kupata / kufikia hitaji la moyo wako. Moyo wako ukiwa unahitaji BMW Na wewe ukapata Toyota Vits Basi hujafanikiwa, utakuwa umefanikiwa pale tu utakapopata BMW. Ili kuyafikia...
11 Reactions
25 Replies
15K Views
Hatimae maombi na huruma ya kilio cha kusamehewa kwa Wasanii nguli wa Muziki Babu Seya na Papii Kocha kimesikika na wameachiwa huru kutoka katika Kifungo cha maisha. Nimesoma Hukumu iliyo watia...
1 Reactions
89 Replies
8K Views
POLISI mkoani Mara, Ephraim Lazaro (G- 1379), ameuawa kwa kupigwa risasi na mtu anayedaiwa kuwa ni jambazi aliyekuwa ametoroka kutoka mahakamani zaidi ya mwezi mmoja uliopita na kufuatiliwa baada...
3 Reactions
40 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…