barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
Habari.
Nimechungulia kidogo TBC na kukuta hili tukio la UFUNGUZI WA TAWI LA BENKI YA CRDB Dodoma.
Nimemsikia JPM akisema Jiji la Dodoma.
Swali: Ni lini Dodoma imekuwa jiji na ni lini lini ilikidhi vigezo??
Hata idadi ya wakazi tu sidhani kama imekidhi vigezo.
Je ni lini Dodoma imepewa hadhi ya ujiji na kwa vigezo vipi??