Kama mnavyogawa condom, tunataka mgawe pads kwa wanawake wote makazini, mashuleni na hospitalini

girlie

Senior Member
Jul 14, 2017
170
250
Kama ambavyo mnagawa condoms bure mahospitalini, magesti vivo hivyo mgawe na pedi za bure jamani.
Always pads zilishushwa from 2000tshs to 1500tshs,cha ajabu wauzaji mmeng'ang'ana na kuuza 2000tshs hadi 2500tshs. Hamuoni aibu ile ya label ya 1500 tu mnaificha, dhambi kubwa sana.

Tunataka mgawe pads BUREEEEE kwa females wote makazini, mahospitali , mashuleni etc.

Hatuezi kurudi kwenye zama za matambala tena.

Sisi ni mama zenu,dada zenu,your daughters,aunty zenu etc. Em tufikirieni.

Tena zile local pads za mahospitalin nzuri sana muanze na hizo kugawa bure.
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
54,853
2,000
Poleni sana. Serikali haijaamua kulivalia njuga swala lenu. Ikiamua pedi bure inawezekana
 
emt45

JF-Expert Member
Jan 19, 2017
565
1,000
Kama ambavyo mnagawa condoms bure mahospitalini, magesti vivo hivyo mgawe na pedi za bure jamani.
Always pads zilishushwa from 2000tshs to 1500tshs,cha ajabu wauzaji mmeng'ang'ana na kuuza 2000tshs hadi 2500tshs. Hamuoni aibu ile ya label ya 1500 tu mnaificha, dhambi kubwa sana.

Tunataka mgawe pads BUREEEEE kwa females wote makazini, mahospitali , mashuleni etc.

Hatuezi kurudi kwenye zama za matambala tena.

Sisi ni mama zenu,dada zenu,your daughters,aunty zenu etc. Em tufikirieni.

Tena zile local pads za mahospitalin nzuri sana muanze na hizo kugawa bure.
Utasikia wanakuambia
Ooh Pedi zinatumika Mara 3-5 kwa mwezi na hata zisipotumika hazileti ongezeko la maambukizi ya virusi vya ukimwi
Lakini Inabd tugawe kondom kwa wingi maana zinaweza kutumika zaidi ya Mara 30-50 kwa mwezi na matumizi hayo yanaweza kufanyika kwa mvulana mmoja
 
Lao Tzu

JF-Expert Member
Oct 2, 2017
217
500

Ndo ushamwambia tayari na kasikia
 
King0001

JF-Expert Member
Oct 31, 2017
203
500
Kama ambavyo mnagawa condoms bure mahospitalini, magesti vivo hivyo mgawe na pedi za bure jamani.
Always pads zilishushwa from 2000tshs to 1500tshs,cha ajabu wauzaji mmeng'ang'ana na kuuza 2000tshs hadi 2500tshs. Hamuoni aibu ile ya label ya 1500 tu mnaificha, dhambi kubwa sana.

Tunataka mgawe pads BUREEEEE kwa females wote makazini, mahospitali , mashuleni etc.

Hatuezi kurudi kwenye zama za matambala tena.

Sisi ni mama zenu,dada zenu,your daughters,aunty zenu etc. Em tufikirieni.

Tena zile local pads za mahospitalin nzuri sana muanze na hizo kugawa bure.
Huu uzi unaogofya!
 
patricl

JF-Expert Member
Oct 2, 2015
431

Local pads za hospital nunua kotoni na gozi then funga mwenyewe itapita miaka bila kununua pads,,, mkuu
 
Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,754
2,000
Wanawake na zama hizi ni bure kabisa maana visivyopaswa kusema hadharani wanaongea kabisaa bila aibu

Mimi nilikuwa na dada zangu kabla sijajitegemea lakini sijawahi kusikiaga hivyo vitu na kwa mara ya kwanz nilizionaga kipindi naanza chuo. Ndo wanawake wetu hawa sasa tutafanyaje tena
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom