Voiced Voice
JF-Expert Member
- Feb 1, 2018
- 248
- 249
Maumuzi yote yanayofanyika Bungeni Dodoma, Wabunge kutoka Zanzibar wanashiriki kujadili na kupiga kura hata kwa mambo yasiyo ya muungano. Kabla hatujajadili kama Rais wa muungano ana mamlaka kwa waziri wa SMZ ama la, hebu kwanza tuone Wabunge wa kutoka Zanzibar wakikaa nje mambo yasiyoihusu zanzibar yanapojadiliwa Dodoma. Kwanini wanahusika kwa mambo yasiyowahusu? Tunafuga janga bila kujijua. Mamlaka na mipaka ya huu muungano hayajakaa sawa kabisaaaaaaaaa.