Machuchu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2017
- 1,260
- 962
Za leo wakuu,
Leo nimekaa sehemu kuwasikiliza wanaume 9 wakimpa pole mwenzao kwa yaliyomkuta.
Uyu mwanaume alikuwa na mali na uwezo na biashara kedekede na nyumba juu, alibahatika kuoa akapata watoto wa2 wa kike.... ila kwa imani za kiislam uyu mwanaume akaamua kuoa mwanamke mwingine kisiri bila Bi. mkubwa kujua.
Ziku zilivyozidi kwenda Bi. mkubwa akagundua kua wapo wa2. Akaamua adaitaraka ila mwanaume alikataa. Bi. mkubwa akaanza [HASHTAG]#VITUKO[/HASHTAG] ilibidi mume ashindwe akatoa [HASHTAG]#TARAKA[/HASHTAG] kishingo upande. Baada ya kupewa talaba Bi.Mkubwa akadai nyumba iuzwe kilamtu afe na chake. Nyumba ikauzwa wakagawana, Mwanaume yeye alinunua kiwanja kingine na ela ingine akaongeza nguvu kwenye [HASHTAG]#BIASHARA[/HASHTAG].
Maisha mapya kwa yule bwana yakaanza bila kuwa na Bi. mkubwa, akawa anaendelea na Bi. mdogo wakazaa watoto wa3. Ila kwa sasa uyu mwanaume maishayake yamekuwa mabovu sana amebaki na [HASHTAG]#KITANDA[/HASHTAG] na [HASHTAG]#GODORO[/HASHTAG] tu waototo ndio wanalala kitandani yeye analalachini anaweka neti na [HASHTAG]#MKEKA[/HASHTAG] analala tena kapanga nyumba ya [HASHTAG]#KIZA[/HASHTAG] (Haina umeme) kodi ni elfu 15 kwa mwezi pia ni mtihani kulipa anashindwa kumudu.
Biashara zote zimekufa kwa ujumla (Amefilisika) watoto wake aliozaa na Bi. mkubwa wale wa2 wamekuwa hawana maadili ya dini wamezalishwa ovyo ushungi wameuweka pembeni.
Leo sasa wenzake wanamwambia kua Bi. Mdogo hana [HASHTAG]#NYOTA[/HASHTAG] nae.....kua nyota yake na Bi. mdogo haziendani. Sasa apa najiuliza kwa swala la NYOTA linakujavipi au Bi. mkubwa amefunga roho na kuumizwa sana na kumuombea mabaya?.