Muhubiri asema wanawake ''ni chanzo cha uovu'' wote duniani

Muhubiri asema wanawake ''ni chanzo cha uovu'' wote duniani

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,303
_99949340_76c76ecb-0070-463b-8b68-1c1a6791f0bd.jpg


Muhubiri wa Rwanda huenda akajapata mashakani mbele ya vyombo vya habari baada ya kuwaita wanawake ''chanzo cha uovu'' katika mahubiri ya redio.

Muhubiri hiyo wa kanisa la Seventh Day Adventist Nicolas Niyibikora aliwambia wanawake kwamba hawapendwi na Mungu wakati wa matangazo ya idhaa ya redio ya Amazing Grace mwezi Januari akionya kuwa ''hakuna lolote jema linaloweza kupatikana kutoka kwa wanawake''.

''Unaposoma Biblia , ni nani aliyeleta dhambi duniani''? Aliuliza akiongeze, ''sio mwanamume''.

Tayari mahubiri hayo yamewakasirisha wanaharakati huku wale wanaounga mkono usawa wa kijinsia wakiitisha mkutano na vyombo vya habari na kuonya kuwa maneneo kama hayo yanaweza kusababisha chuki na mzozo miongoni mwa raia wa Rwanda iwapo hakuna hatua ya haraka itachukuliwa , kulingana na gazeti la Rwanda la New Times.
Kundi la kutetea haki za wanawake liliwasilisha malalamishi yake katika tume ya udhibiti wa vyombo vya habari ambayo inatarajiwa kukutana ili kuzungunmzia kuhusu swala hilo wiki ijayo.

Afsa mkuu Emmanuel Mugisha aliambia gazeti la New Times kwamba kuna uwezekano idhaa hiyo italazimika kujieleza.

Kanisa la Seventh Day nchini Rwanda limefanya juhudi za kujitenga na Niyibikora, ambaye wanasema aliipgwa marufuku kwa miaka ,mitano.


Chanzo: BBC Swahili
 
Mhubiri yupo sahihi, hawa wanaojiita wanaharakati Ndio wamefanya wanawake wawe na viburi mpaka kufanya ndoa hazikaliki siku hizi!

Tangu mwanamke alipodanganywa na nyoka Kula tunda la katikati basi maovu yote yalianzia hapo!
 
Ni kweli kabisa hata Uislamu unalitambua hilo,Ndo maana uislamu unasisitiza mwanamke kujistri japo vishawishi vitakuwa mbali sana
 
Wanaharakati, Wafia Dini na Wachungaji wa Miujiza wanapokutana collision yao huwa haimuachi Mtu salama..,
 
Mhubiri yupo sahihi, hawa wanaojiita wanaharakati Ndio wamefanya wanawake wawe na viburi mpaka kufanya ndoa hazikaliki siku hizi!

Tangu mwanamke alipodanganywa na nyoka Kula tunda la katikati basi maovu yote yalianzia hapo!
Nimecheka sana mkuu unasema alikula tunda la katikati.
 
Hawapendi kuambiwa ukweli labda angesema JoTI kwenye makavu laivu wangemuelewa.
 
sasa kwani niuongo refer kuumbwa kwa adamu na EVa ..mpka kunako daiwa kudanganywa kwao na ibilisi..kisha njoo ktk kisa cha watoto wa adamu ambao mmoja alimuua mwenzie .sogea mpka katk zama za lutwi mkewe alikuwa nisahabiki wa sodoma na gomora mzuri tu ..kwa miaka ya leo angeitwa shangingi ..kisha nenda mpka kwenye habari za simon na Delila ..njoo tena mpaka kwa Caesar wa Roma na demu wake Cleopatra ..sogea tena kwa Mugabe na yule mkewe mpnda madaraka(grace Gucci) jinsi Mugabe alivyompindua Mume wa grace na kumpokonya mkewe akasababisha Jamaa aikimbie nchi na kwenda kusoma china..vipi kuhusu Clinton na Monica ..
halafu njoo mpka tz hapa utakuatana na kisanga cha sizonje na yule malaika aliyeponzwa na weupe wake .bila kusahau namna ambavyo mauti yalivyomfika kanumba ..na kuna mengine mengi tu yanayojiri ambayo tunayasikia kupitia Hawa wanawake na yameshaleta uhasama mkubwa mnooo..
 
Hata Mungu anafahamu hilo, nafsi zetu zinafahamu hilo,
Acha Mhubiri aseme tu ukweli japo watamshambulia kwa maneno yake.
 
Hakuna dunia bila mwanamke! Mumbaji mwenyewe aliliona hilo na ndio maana baada ya Adamu kuumbwa na kukaa peke yake kwa muda bado ilionekana anahitajika mwanamke! Ndio mwanamke akatinga ndani ya dunia ili mwanamume aishi😛😛😛😛 mtapiga makelele sana na kulaumu mama zenu lakini ukweli ndio huo... mtamtumikia mwanamke, na kwa shida mtalima na kutafuta chakula mwanamke ale.... tena shukuruni wanawake siku hizi wanawasaidia sana kwa kufanya kazi zenu na kuwalisha.😉😉 huyo Mhubiri mwenyewe hapo anahubiri wakati anangojewa nyumbani na mwanamke!!
 
Bob anasema mwanamke ndiyo chanzo cha mabaya yote duniani.
Bob Marley – Adam And Eve Lyrics

The lord named Adam and Eve,
To live a happy life.
In the garden of Eden,
But they disobeyed.

I wanna know,
Why they sin,
In the garden of Eden.

It's a devilman's affair,
In the shake of a surfband.

And they broke the fruit of life
And everyone of us is living in sin.

Any anywhere you go,
Woman is the root of all evil.

He was the first one to break a fruit
And everyone of us is living in sin.

The lord named Adam and Eve,
To live a happy life.
In the garden of Eden,
But they disobeyed.

I wanna know,
Why they sin,
In the garden of Eden.

It's a devilman's affair,
In the shake of a surfband.

And they broke the fruit of life
And everyone of us is living in sin.

Any anywhere you go,
Woman is the root of all evil.

He was the first one to break a fruit
And everyone of us is living in sin.
258x
 
WANAWAKE.jpg

Muhubiri mmoja wa kutoka nchini Rwanda huenda akajapata mashakani mbele ya vyombo vya habari baada ya kuwaita wanawake ”chanzo cha uovu” katika mahubiri ya redio.

Muhubiri hiyo wa kanisa la Seventh Day Adventist Nicolas Niyibikora aliwambia wanawake kwamba hawapendwi na Mungu wakati wa matangazo ya idhaa ya redio ya Amazing Grace mwezi Januari akionya kuwa ”hakuna lolote jema linaloweza kupatikana kutoka kwa wanawake”.

”Unaposoma Biblia , ni nani aliyeleta dhambi duniani”? Aliuliza akiongeze, ”sio mwanamume”.

Tayari mahubiri hayo yamewakasirisha wanaharakati huku wale wanaounga mkono usawa wa kijinsia wakiitisha mkutano na vyombo vya habari na kuonya kuwa maneneo kama hayo yanaweza kusababisha chuki na mzozo miongoni mwa raia wa Rwanda iwapo hakuna hatua ya haraka itachukuliwa , kulingana na gazeti la Rwanda la New Times.

Kundi la kutetea haki za wanawake liliwasilisha malalamishi yake katika tume ya udhibiti wa vyombo vya habari ambayo inatarajiwa kukutana ili kuzungunmzia kuhusu swala hilo wiki ijayo. Afsa mkuu Emmanuel Mugisha aliambia gazeti la New Times kwamba kuna uwezekano idhaa hiyo italazimika kujieleza.

Kanisa la Seventh Day nchini Rwanda limefanya juhudi za kujitenga na Niyibikora, ambaye wanasema aliipgwa marufuku kwa miaka ,mitano.
 
Zanzibar kuna shekhe 1 anaitwa shekhe Nyundo, huyu nae ukisikiliza mawaidha yake, ni kwa wanawake tu kuwa ndio chanzo cha matatizo yote duniani, ukimuuliza anavyofafanua we acha, mtafuteni kwenye youtube
 
Binadamu wote tunayo madhaifu na kupitia madhaifu hayo tunafanya uovu
"no body is perfect, anybody can be source of evils!
 
Ngoja niwasubiri wafia Usabato waje.., au ngoja niwaite
Kitaja
Capital pool
Ntuzu
Aeref Domunius
Nyerere
3Angel massege
Njooni huku SDA inataka kufutwa Rwanda.
 
sasa kwani niuongo refer kuumbwa kwa adamu na EVa ..mpka kunako daiwa kudanganywa kwao na ibilisi..kisha njoo ktk kisa cha watoto wa adamu ambao mmoja alimuua mwenzie .sogea mpka katk zama za lutwi mkewe alikuwa nisahabiki wa sodoma na gomora mzuri tu ..kwa miaka ya leo angeitwa shangingi ..kisha nenda mpka kwenye habari za simon na Delila ..njoo tena mpaka kwa Caesar wa Roma na demu wake Cleopatra ..sogea tena kwa Mugabe na yule mkewe mpnda madaraka(grace Gucci) jinsi Mugabe alivyompindua Mume wa grace na kumpokonya mkewe akasababisha Jamaa aikimbie nchi na kwenda kusoma china..vipi kuhusu Clinton na Monica ..
halafu njoo mpka tz hapa utakuatana na kisanga cha sizonje na yule malaika aliyeponzwa na weupe wake .bila kusahau namna ambavyo mauti yalivyomfika kanumba ..na kuna mengine mengi tu yanayojiri ambayo tunayasikia kupitia Hawa wanawake na yameshaleta uhasama mkubwa mnooo..
Hongera zako bhana, umedadavua kweli kweli .
 
Back
Top Bottom