Video clip ya udhalilishaji wa mwanamke inayosambaa kwa kasi instagram Jeshi la polisi mulikeni

Mallia

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
437
1,532
Katika mtandao wa instagram kuna video clip ya mwanamke ambaye alikuwa akipokea kipigo kikali kutoka kwa watu ambao wanadai kuwa mwanamke huyo baada ya kuingia katika nyumba ya kulala wageni na mtu wake, alimuibia vitu vya thamani na baada ya mwanaume kurudi chumbani na kushtukia huo mchezo, ndipo yule mwanamke kwa kujihami ikabidi yeye ndio apige kelele za mwizi ili yule mwanaume adhalilike na kukamatwa

Inasemekana baada ya watu kujazana ili kumkamata huyo mwizi ilibainika kuwa yule mwanamke ndio alikuwa mwizi hivyo ikawabidi raia wenye hasira waanze kumshushia kipigo na kumvua nguo zote

Kitendo alichofanyiwa yule dada sio kizuri,binadam tubadilike
 
Mallia,
yaani hapo umenitangazia na mimi nikaone serikali itabidi isikuache na wewe kwa kunipa link
 
kumbe changu halafu jizi,nawapongeza sana waliofanya hicho kitendo wangemchoma kabisa moto yeye alitaka mwenzake ndiye achomwe moto kwa kumsingizia mwizi
 
Ahhh yan jimama lenyewe tumbo kubwa kuliko msambwanda wake???
Wanaume tunaroho ngumu kut£&@%@ demu kama yule
 
Huyo mwizi ni ndg yako? What if wananchi wenye hasira wanfmgekuja kumpiga huyo jamaa hadi kumuua wakijua ni mwizi kweli? Acha Huyo Malaya apate kipondo aachane na Tabia za kishenzi km hizo!
 
Mara nyingi tumeskia hizi habari yawezekana demu na jamaa wakahitilafiana mahali, then unaskia mwanamke anamuitia mwenzake mwizi, na kwavile wanawake wanaaminika zaidi watu huwa wanadhani mwizi kweli na kuanza kumpiga nk na hii ishatokea sehemu nyingi tu, mara ya mwisho kuona ilikuwa maeneo ya Bunju, Jamaa kaamua kumuacha demu, bimkubwa kaona amkomeshe akamuitia mwizi jamaa akaanza kupokea kichapo mpaka baadae kidogo akatokea jamaa akamnusuru. so vitendo hivi vinatokea sana na mm siwezi walaumu hao wanaompiga
 
Vipi kitendo cha kumuibia mtu halafu unamwitia mwizi ili yeye ndio apigwe na kuchomwa moto ilihali yeye ndie kaibiwa, ni kizuri eeh..
 
Back
Top Bottom