Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dawa za LIFE SELI zinatengenezwa Kinondoni kwa Manyanya. Nimejaribu dawa zake. Kuku wangu kila nikiwapa wanapata matege na kupofuka macho. Najiuliza hivi wizara ya mifugo iko wapi! Hawa waganga wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu,naomba kufahamishwa ni vipi naweza kuhama kutoka wizara moja kwenda wizara nyingine kwa kada ya TEHAMA. Pia ninapoandika barua ya kuomba nafasi wizara au taasisi husika kichwa...
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Platinum ni bar ya kawaida sana haifikii hata rosegarden, royal village,capetown, rainbow nk ambako huko kote bei ya soda ni 1000, lkn wao soda ni sh 1500, kwa kweli hata kama vyuma vimekaza hio...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Ni jambo lililozoeleka kwa watoto wadogo kupenda kuvua nguo zote wanapoenda kupuu. Kuna wengine hukua na tabia hio mpaka shuleni na hatimaye ukubwani. Hawa siwezi kuwanenea kwakuwa ni tabia tayari...
30 Reactions
134 Replies
12K Views
Wandugu hamjambo. Naombeni msaada wa kimawazo, Mim ni civil servant, Nina mkopo abc banc, Toka mwaka 2015, Jumla ya makato kwa miezi 72 ni si chini ya 14,876,000 Mwezi FEB deni lilikuwa...
0 Reactions
64 Replies
9K Views
Madaktari watakaoguswa na panga pangua hiyo ni pamoja na bingwa wa kinamama, watoto, upasuaji, mionzi, dawa za usingizi na mifupa. Dar es Salaam. Wakati asilimia 60 ya madaktari bingwa...
3 Reactions
95 Replies
10K Views
Mwanza. Washtakiwa wanne katika shauri la kufanya vitendo vinavyoashiria mapenzi ya jinsia moja na makosa la kimtandao wameachiwa kwa dhamana baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza kutupilia...
2 Reactions
108 Replies
15K Views
BREACKING NEW: AJALI YATOKEA MWANZA HIVI PUNDE Gari aina ya coaster ambalo linafanya safari zake kati ya mwanza nyegezi na katoro geita limegongana Na gari aina ya fuso(semi) idadi ya majeruhi...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Wadau, ukiangalia rangi ya cover ya passport ya nchi yetu haipendezi kabisa, nashauri wabadilishe rangi, bora iwe dark blue au zingine zenye mvuto!!
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Nafikiri hii tabia ya kutowajibka ndio imetufikisha happa tulipo;;ndugu zangu naona kwa tv kumbe jengo hili n ubia wa bw ladha na nhc;ndugu yangu nehe;mia tumekuwa tukiamini uwezi saini cheki...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Wakuu habari zenu, Nimepita hapa kuwamegea kidogo mambo machache ya kustajabisha niliyoyaona wiki tatu zimepita nikiwa nimetembelea Manispaa ya Shinyanga. Mambo yenyewe ni:- 1.Mji kuna vumbi...
2 Reactions
50 Replies
9K Views
Sio sababu ya kaya ndio mseme vijana wanakua wezi... Sio sababu ya kaya ndio mseme wabunge wanatukana... Sio sababu ya kaya ndio mseme Mimi Malaya.. Sio sababu ya kaya mseme vijana wamepoteza...
1 Reactions
4 Replies
779 Views
1. Mtu anakuona umejilaza na macho umefunga anakuuliza umelala?..... Hapana najaribu kufa. 2. Mvua inanyesha halafu unatoka nje kisha mtu anakuuliza unakwenda na hii mvua?..... Hapana nitakwenda...
5 Reactions
20 Replies
4K Views
Jibu swali lolote kati ya yafuatayo ambayo yatakuwa yamekugusa na unayo majibu. 1. Kitu gani umewahi kufanya ambacho haujivunii nacho daima? 2. Kitu gani umewahi kufanya ila unajutia siku zote...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Nilishangaa sana juzi pale wale wasomeshaji walipolipuka kwa shangwe baada ya kupewa peremende. Lakini sawa hata watoto ukiwaletea peremende huwa wanashangilia sana. kazi njema wasomeshaji.
1 Reactions
1 Replies
790 Views
Habari wanajamii forum nimekuwa nikifatilia sana hizi tamthilia kama LEGEND OF THE SEEKER,MERLIN,na zingine zinazoendana na hizo lakini nimegundua hizi tanthilia za hawa jamaa zinatumia akili...
0 Reactions
3 Replies
862 Views
MBINGA, RUVUMA: Mwanafunzi wa darasa la tatu wa shule ya msingi Lukai iliyopo kijiji cha Amani Makolo amekutwa na ujauzito wa miezi minne aliosema aliupata baada ya kubakwa akiwa anatoka kanisani...
0 Reactions
137 Replies
13K Views
1:mkimaliza kuongea mniambie niendelee kufundisha 2:baba yako kauza ng'ombe ili alete ng'ombe mwingine shule 3:kama unajua kuliko Mimi njoo ufundishe wewe 4:ulikuja peke yako na utaondoka peke...
6 Reactions
61 Replies
7K Views
Wanajamvi leo mkusanya kodi amenidai kodi ya takataka kwenye kiofisi changu cha tigo pesa cha ajabu ofisi yangu haina takataka na wala sijawahi ona gari ya takataka ikipita...jamani au ni tapeli...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu nadhani kwa hali ilipofikia mtu pekee ambaye naona ataimudu wizara ya nishati ni Mh Makonda. Pamoja na mapungufu yake ila huyu bwana ni mbunifu na mpambanaji, nafikiri akipewa wizara ya...
9 Reactions
72 Replies
6K Views
Back
Top Bottom