ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,370
- 4,643
MSD
Sielewi kama ndio gharama za maisha au kuna tatizo mahali.
Kwanza kabisa mnatuambia kuwa kuna dawa mseto za ruzuku lakini tunazikuta zinauzwa bei mara tatu ya bei elekezi na tukilalama tunaambiwa twende hospitalini na kwenye mahospitali wanatuambia hazipo tuwaeleweje?
Pili dawa zimepaa sana bei.Sijajua kama kuna ulanguzi unafanywa au ndio uchumi umedumaa,kwa sasa dawa ambazo tuliuziwa 2500 mpaka 5000 sasa zinauzwa kunzia 400 mpaka 12000 tunashindwa kuelewa serikali inafanya kazi gani kama hata kuhakikisha dawa zinapatikana kwa bei nafuu
MSD mlisema mtafungua maduka yenu kwenye kila hospitali vipi mmefikia hatua gani au ilikuwa ni habari ya kujipendekeza.
Tunataka tuone matokeo hatutaki propaganda