Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Muhubiri wa Rwanda huenda akajapata mashakani mbele ya vyombo vya habari baada ya kuwaita wanawake ''chanzo cha uovu'' katika mahubiri ya redio. Muhubiri hiyo wa kanisa la Seventh Day Adventist...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
, *Ngoja* *nikufahamishe* ;- - *Gaddafi* ni mtoto wa 10 katika familia ya watoto 15, - *Gaddafi* wazazi wake wote waliuliwa kwa vita, - *Gaddafi* aliwahi kufukuzwa shule akiwa form 2...
26 Reactions
132 Replies
25K Views
Kadri umri wangu unavyo zidi kusogea nina pata mashaka na mchezo wa mieleka ninahisi kama yale mapambano ni maigizo yani wana panga michezo ,wanatengeneza script , ninaomba mwenye taarifa sahihi...
2 Reactions
37 Replies
8K Views
Habari wana JF, Msaada tutani, ningependa kufahamu kwa hapa Tanzania ni bank gani yenye huduma ya "Wari" inayomuwezesha mteja na asiyemteja kutuma pesa na kupokea kutoka nje ya nchi. BOA (Bank...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WAFANYABIASHARA wa madini ya tanzanite na wamiliki wa migodi katika mikoa ya Arusha na Manyara, sasa wamebuni njia haramu ya kukwepa kulipa kodi ya serikali kwa kufanya biashara ya madini hayo...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
JESICA HOGAN, mama wa watoto sita mkazi wa Riley, Kansas, Marekani, amejifungua mtoto pekee wa kiume katika korido ya hospitali ambayo alikuwa anawahishwa kwenda kujifungua. Mtoto huyo aliyeleta...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika mtandao wa instagram kuna video clip ya mwanamke ambaye alikuwa akipokea kipigo kikali kutoka kwa watu ambao wanadai kuwa mwanamke huyo baada ya kuingia katika nyumba ya kulala wageni na...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hatarajii kuona Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC inatangaza wagombea walioshindwa na kuwaacha washindi katika uchaguzi inaoisimamia, maarufu kama ushindi wa bao la...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Nilitaraji maombi ya nguvu yaondoe hali hii, akina Kakobe, Mzee wa upako, Gwajima, ndo kwanza wanalalamika, badala ya kupiga maombi serikali itulie kama maji.Kule Kongo wamemtia askofu mkuu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Fumbo fumba kwa kapuku,wa hekima aelewa, Hata kama ala kuku,kapuku hatoelewa, Ukweli haupo huku,huku sote tumelewa Ya nini kudanganyana,Ukweli tunauona Wengi kunguru waoga,mwakimbiza bawa zenu...
0 Reactions
0 Replies
507 Views
Watanzania wamezoeleka kuwa na ukarimu lakin mwisho wake wanaishia kunyongwa na wengine kuishia jela kwa kusaidia watu wenye mzigo wa madawa ya kulevya bila wao kujua. Nakumbuka niliwai kutana...
20 Reactions
123 Replies
15K Views
Maumuzi yote yanayofanyika Bungeni Dodoma, Wabunge kutoka Zanzibar wanashiriki kujadili na kupiga kura hata kwa mambo yasiyo ya muungano. Kabla hatujajadili kama Rais wa muungano ana mamlaka kwa...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwanasheria wa Jeshi la Polisi amesema hakuna sheria inayolazimisha magari kusimama katika vivuko vya pundamilia kama hakuna mtembea kwa miguu anayesubiri kuvuka. Aidha ameongeza kusema kuwa...
15 Reactions
68 Replies
14K Views
[emoji666]SOMA KWA AJILI MAARIFA YAKO NA VIZAZI VYAKO 1.TABAKA LA JUU. 2. TABAKA LA KATI 3. TABAKA LA CHINI. Kwa mujibu wa mwanafasafa Carl Marx, katika maandiko yake yeye na mwenzake Friederick...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mimi hili swala LA kunyimwa fursa mbalimbali vyama shirikishi kama mikutano na mengine ni mbaya mno tunaweka visasi
0 Reactions
1 Replies
901 Views
MWALIMU Mkuu wa Shule ya Msingi Magu iliyoko Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, Prosper Kagombolo amehukumiwa na Mahakama ya wilaya hiyo kwenda jela miaka mitatu ama kulipa faini isiyopungua laki tano...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa imani niliyonayo namshukuru Mwenyezi Mungu amenipa sifa za kuitwa binadamu ingawa hakuna mkamilifu. Wiki iliyopita nilipata ndoto ambayo kama kuna wataalam wao ndio wataichambua zaidi lakini...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
LICHA YA UALIMU KUWA NI FANI YENYE WASIMAMIZI WENGI BADO HAIJAWEZA KUFANYA VIZURI. Nimejiuliza sana lakini leo nimepata jibu(to be reseached) Huenda ni kutokana na taaluma hii kuingiliwa na Walimu...
0 Reactions
0 Replies
551 Views
Ni ukweli uliowazi katika kutekeleza majukumu hasa unapogusa masilihi ya kundi fulani fulani, malalamiko mengi sana hutokea, naomba nitumie nafasi hii kumpongeza sana mheshimiwa Waziri kwa kazi...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Gone is a great soul;a warrior lost during the battle Gone is a comrade;One whose thought had a wit His cunning amazing;His brute marvelous Gone are the days,when we could take pride in your...
0 Reactions
0 Replies
822 Views
Back
Top Bottom