Habarini
Blood group yangu ni O
Ninatabia ya kutokamilisha mipango yangu, yaani naweza nikapanga jambo/biashara/masomo then nikaanza utekelezaji nikifika njian kwenye utekelezaji naghairi...
Hii nchi yetu bado masikini sana. Bado sana.
Deal moja la kununua kampuni moja nchini Marekani kati ya Disney na fox entertainment ni trilioni 149.
Hii ni bajeti ya Tanzania ya miaka 5. Bado...
Niende moja kwa moja kwenye mada,ni karibu mara zote kwa upande wangu,sijui kwa wengine,mziki nitakaousikia mara ya kwanza ninapokuwa nimeamka asubuhi na hii hasa ni kwa mziki ninaoufahamu,ni...
Imekua ni utamaduni kwa jiji la Dar es salaam lenye mkusanyiko mkubwa wa shughuli mbalimbali za kiserikali na kibiashara kukosa umeme siku tano kati ya siku saba za wiki,nimechunguza nikagundua ni...
Miaka miwili kabla ya utawala wa Magu kulikuwa na msemo mtaani hasa kwa yeyote anayeibuka na utajiri wa ghafla.
Utasikia huyo Freemason ,kwasasa huo msemo umeanza kusahaulika kabisa vinywan mwa...
Je wewe ni mpenzi wa Riwaya za Taharuki, hususan kutoka kwa mkali wa riwaya hizo nchini, HUSSEIN TUWA? Kama jibu ni ndiyo, basi sasa ndio wakati wako wa kufunga na kufungua mwaka kwa riwaya kali...
HAKIKA YOTE YAMETIMA
Nimekaa nikasikiliza mashairi ya huu wimbo wa Mh.Joseph Haule ,Nang'atuka mpaka nimeshtuka na kama sii kuogopa.
Ni kama vile jamaa alioteshwa. Yote yalioimbwa yatatimia...
Wasalaam wanajamii,
Nirukie kwenye swali moja kwa moja nahitaji kufahamu ufafanuzi wa student visa je, visa hii utolewa kwa watu waliopata scholarship tu au kwa mtu yeyote mwenye dhamira ya...
Tusali pamoja kuwaombea mapacha hawa walioungana Maria na Consolatha waliolazwa kwenye Taasisi ya Moyo ya Jakaya kikwete jijini Dar es salaam wakipatiwa matibabu ya Moyo.
Na hii ni video...
Tangu asubuhi ni scanning in progress
Searching for signal.........
Nini tatizo wakati tunawalipa? Ina maana mnashindwa kuboresha mitambo yenu?
Hamjui kuwa hakuna fidia kwa muda uliopita bila...
Wakati serikali ukijitahidi kuondoa kero katika jamii, kituo cha polisi kati Mwanza kimekuwa kero kwa kuziba njia ambayo imekuwa ikitumiwa na wasafiri wanaotumia meli ziendazo Bukoba na Ukerewe...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda , Leo amehaidi Kuijengea Nyumba ya Vyumba Vinne (4) Familia ya Mwandishi (mpiga picha) wa Magazeti ya Serikali TSN wanaochapisha Magazeti ya Habari...
Nchi ya hovyo, ardhi ya hovyo, Raia wa hovyo, vijana wa hovyo, wazee wa hovyo, siasa za hovyo, uongozi wa hovyo, viongozi wa hovyo, viongozi wa dini wa hovyo.
Ni nchi gani hiyo katika Africa?
Kwa ufupi
Mkazi wa Ilala Bungoni, Dar es Salaam, Richard Mrutu alisema kushuka kwa usajili katika shule binafsi kumetokana na kuimarika kwa hali ya elimu katika shule za Serikali ikilinganishwa na...
Shirika la Stemm ambalo lilitoa msaada wa kuwatibu mtoto Shadia,Doreen,na Wilson nchini Marekani walionusurika katika ajali iliyouwa wanafunzi 32 dereva pamoja na walimu 2 wa shule ya Luckvicent...
Habari wana Jf!
Napenda kujua habari zao,namna walivyofanya,walivyotendewa,sioni wakisikika tena,hivi wako wapi? wanafanya nini? Mustakabali wao wa maisha ya siasa,na Ulimboka Taaluma yake ya...
Nasikitika kwajulisha msiba wa Dr Agustino Goodman,uliotokea nyumbani kwake segerea juzi usiku,mazishi yanatarajiwa kufanyika Hapo Hapo nyumbani kwake jumatatu
Kwa kifupi Dr Goodman alikuwa...
Habarini, mimi ni mwanafunzi wa chuo mwenye dhumuni ya kuuza bidhaa Za natural hair Za aunt Jackie's, kwa yeyote anae Jua nawezaje kuagiza kutoka nje ya nchi Naomba msaada