Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mjasiriamali, Mtunzi wa vitabu mashuhuri nchini Tanzania na mmiliki wa kampuni ya Global Publishers, Erick James Shigongo amefunguka na kujiteua mwenyewe kuwa balozi wa hospitali ya Muhimbili...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Habari wakuu, Kwakweli nimekuwa nikifuatilia matangazo mengi wanayofanya Tigo kiukweli wanapatia sana. Tuseme yani kwa upande wa matangazo ya mitandao ya simu wao wanakimbiza. Sasa saivi naona...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Hivi kweli kwa aina hii ya Wafanyakazi wa Serikalini tena waliopewa Nyadhifa mbalimbali za kusimamia mambo muhimu ya Wananchi wanakuwa na mapungufu baadhi kama haya? Hawajui hata Job Descriptions...
23 Reactions
103 Replies
11K Views
Pale Muhimbili kuwepo taasisi ya Kushughulikia tatizo hili Jana ndani ya Daladala zimepigwavkelele nyingi lilipofungwa goli la Nne,nikajiuliza hawa watu wanaoshangilia ni ushabiki?Mapenzi su ni...
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Ndungu wanaforum, Asalaam aleikhoum, Bwana asifiwe. Napenda kuwakumbusha wale tu wamekuwa wafuatiliaji wa policies mbali mbali za kisiasa, kiuchumi, kijamii na za kimendeleo nchini na nje ya nchi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Bwana asifiwe? Najua itakuwa Jtano ngumu sana kwa wengi wetu, lakini kwa nguvu zake yeye atuwezeshaye( Mungu) basi Shetani anakwenda kushindwa.Ukiwa kama Mkristo huna budi kupitia ujumbe huu na...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Habar za leo ndugu zangu wanajukwaa, Lililonileta leo kwenye jukwaa;nahtaji kuwashirikisha Maisha au vitu vinavyotendeka kwenye sehemu zenye migodi/machimbo na hii ni Kwa wale waliowahi kufka au...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Amani ya bwana iwe pamoja nanyi, Mwaka 2014 kuna huu mradi ulianzishwa wenye thamani zaidi ya Tsh Bilioni mbili (2 bil. Tsh), ambao ulilenga kumuwezesha mwanamke wa kitanzania katika elimu, afya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Yoh! Salamu kanisa wako mpendwa katika bwana, katika wana waliotaka kufeli nami nazama, tangu jana uwepo wako haupingiki, kisa una nguvu ya kuwavuta wasiosadiki, Sikuhitaji mambo ya kugawana...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habhari zenyu wakuu! Ni siku ya jana majira kama ya saa 5 usiku kuna jamaa angu katoka kwenye hizo hostel akiwa anaelekea uelekeo wa mlimani city kupitia njia ya watembea kwa miguu iliyo pembeni...
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Tundu Lissu:Wakitumaliza wataanza na nyinyi
16 Reactions
373 Replies
39K Views
zoezi la upandaji miti lililobuniwa na mkuu wa mkoa Dar es salaam, Mwezi uliopita; Linazidi kuitia hasara serikali baada ya pesa za walipa kodi kutumika kwa matangazo katika television mbalimbali...
5 Reactions
60 Replies
6K Views
Wadau natamani ningesema sana. Ila, Mama yangu nakupenda sana You are My Valentine, Mimi mwanao PBK
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Karibuni ktk mjadala huu Swali likihoji je, kauli ya Tanzania ya viwanda ni kwa kiasi gani serikali inatekeleza au imetekeleza? Ikiwa tyr ni mwaka Wa tatu sasa tumeuanza toka serikali mpya iingie...
0 Reactions
0 Replies
615 Views
Heshima zenu wakuu, Amani ya Mungu iwe nanyi. Jumatatu nasafiri kwenda Mbeya kutoka Dar, naomba kujua basi zuri la kwenda Mbeya kwa maana ya usafiri wa uhakika na muda wa kufika Mbeya hata na bei...
0 Reactions
34 Replies
9K Views
Fedha na malipo ndiyo mada nzuri kuliko zote kwenye mijadala yetu ya kila siku. Ninaposema nzuri siyo lazima uwe unaifurahia, lakini hichi ni kitu ambacho kila mtu lazima akifikiria kila siku. Kwa...
13 Reactions
13 Replies
3K Views
Ni tukio ambalo limenitokea hivi punde tu yaani nipo zangu Chumbani natiririka na kuserereka na JamiiForums kumbe kuna Watu wamevunja mlango wangu wa Sebuleni wakaenda moja kwa moja jikoni tu na...
3 Reactions
41 Replies
4K Views
Miongoni mwa maeneo hatarishi kwa wanafunzi ni hili eneo la hapa Sinza Mapambano, kwanza hakuna alama za barabarani kuonesha kuwa kuna shule, pili hakuna alama za kuonesha sehemu ya kuvukia kwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amemtaka Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mohamed Hassan Haji kutatua changamoto zinalolikabili jeshi hilo ikiwemo viashiria vya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom