Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Uzuri wako Africa, ni pamoja na upendo ulionao ndani, misitu mikubwa ya asili imo ndani yako, asili yako ee Africa ni utajiri unaoparikana ndani yako Unauwezo wa kulisha dunia yote ila mbona...
1 Reactions
2 Replies
744 Views
Wanabodi, Nimeamua kuwa mdadisi wa maisha ya "ujanja ujanja" kwa wenzetu huko US. Kwa mfano sijakaa hotel X then nikaenda kuongea na mtu wa hotel hiyo anipe risiti ya hotel yao, je inawezekana?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo nilienda Ofisi ya Air Tanzania ofisi ya Mwanza kwa ajili ya kufanya booking ya safari yangu kwenda Dar es salaam tarehe 4.3.2018 saa za mchana. Nilichoambiwa sijaamini mpaka sasa. Niliambiwa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Je tunamfahamu adui wa amani yetu?
0 Reactions
2 Replies
716 Views
Mark this tweet...!!!
12 Reactions
192 Replies
28K Views
Nilikuwa naangalia makala moja mara nikamuona Badra Masoud then nikamuona Aden Mwamunyange na kisha nikamuona Pascal Mayalla, wakanikumbusha jambo moja kwamba hawa walikuwa wasemaji wa taasisi zao...
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Habari za jioni wapendwa kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimeokota bahasha yenye vyeti vya mtu vyeti vyenyewe ni vya kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu pamoja na vyeti vya kuzaliwa sasa...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Wiki hii kundi la wazungu laweka kambi Kilosa. Jambo hilo limeleta mshangao kwa wananchi kutokana na wazungu hao kuweka kambi kubwa katika eneo la mlima wa njiapanda. Wananchi wanahisi ni kuwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
IDADI ya wanafunzi waliokatisha masomo kwa sababu ya mimba katika shule za msingi na sekondari nchini, imeongezeka kutoka takribani 3,000 ya mwaka 2013 hadi wanafunzi 5,033 katika mwaka 2016...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Tunaomba ufafanuzi wenu tujue hili Na kuelewa ni kwanini Pesa ya decorder ikiisha zinakata channel zote Na kubaki Tbc tu wakati inasemekana hata baada ya bundle kuisha tulistahili kuendelea...
1 Reactions
3 Replies
679 Views
Ningependa tujadili kwa pamoja hili suala ili tuweze kwenda sawa na mabadiliko yanayojitokeza. Kusema kweli moja kati ya mambo ninayofurahia kwa sasa juu ya jiji hili la dar ni kuona barabara...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mambo ya kujifanya nyie na wanaume ni sawa wakati nyie.. -miili yenu inawahi kubalehe miaka kadhaa kabla ya akili zenu Hazija Komaa. Wakati mwanaume akili yake inatangulia kukomaa miaka kadhaa...
2 Reactions
5 Replies
904 Views
Wadau, Wenye takwimu angalau za wastani, naomba kujua kwa siku moja ni mabasi mangapi yanatoka stand ya Ubungo terminal kwenda mikoani.
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Kuna dogo kaniuliza hapa hilo swali kwenye title Kaambiwa na mwalimu wake wa tour guide,ni ya kweli haya? Sipo familiar sana na wanyama wanaopatikana ngorongoro.
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimekuwa natafakari ni kwa nini baadhi ya watu ambao ‘wameshatoka kimaisha’wanaonekana ni watu wenye stress, chuki na visasi wakati walitakiwa kwa vyeo, madaraka au mali walizonazo wawe watu wa...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Una coin hapo? Una buku hapo? Mara nitoe buku 3 kama unayo. Anapanda viwango mdogo mdogo, unaweza kuwa na buku tano hapo? Kimsingi anakuwa anaomba hela fulani ambayo yeye anajua wewe unayo na...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Mzuka wana Jamvi! Wimbi la watu kuombaomba hela Sana (wapiga mzinga) limeshika kasi. Japo Kuna wengine kweli wahitaji ila asilimia kubwa imeshakuwa tabia. Utakuta wengi wao Ni wachezaji...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba msaada jinsi ya kufanya kwa wauza simenti karibu na nyumba ya kushi. Mimi jirani yangu anauza simenti na stoo yake kaiweka karibu na nyumba yangu yaani ukuta wangu na ukuta wa nyumba yake...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Serikali kupitia Naibu waziri wa habari na utamaduni na michezo Juliana Shonza imetangaza kumfungia miezi 6 Msanii wa filamu na muziki, Suzan Michael maarufu Pretty Kind kwa kuweka picha za utupu...
15 Reactions
494 Replies
227K Views
Back
Top Bottom