Kweli Tanzania bado nchi masikini sana, deal moja Marekani ni bajeti ya Tanzania miaka 5

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,052
12,906
Hii nchi yetu bado masikini sana. Bado sana.

Deal moja la kununua kampuni moja nchini Marekani kati ya Disney na fox entertainment ni trilioni 149.

Hii ni bajeti ya Tanzania ya miaka 5. Bado tuna safari ndefu sana ya kwenda.

Muamala mmoja tu huko marekani ni bajeti yetu ya miaka 5.

Screenshot_20171217-142224.png
 
hao Marekani unaowasifia tuna mpango wa kuwakopesha pesa
Aisee ni kweli kabisa, na tutakuwa tunawapa na msaada wa silaha, na tukiona misaada wanaitumia vibaya, tunaiteka Marekani na kuifanya Jimbo letu, chezea ccm weye??
 
Walt Disney na 21st century zipo mataifa mengi na mabara almost yote hizo two companies zina subsidiary companies kibao usifikiri ni hizo mbili kama zilivyo kama Walt Disney China ni kubwa kuliko Marekani kwenyewe 21st century ni company inayomilikiwa na world elites ukisikia wayahudi waliopo kuanzia kwenye gold oil na diamonds ndio wenye hiyo companies na hauta kaa uwaone sijui Forbes au world wealthiest rankings.
 
Bajeti ya jeshi la marekani kwa mwaka mmoja, ni sawa na bajeti ya Tanzania kwa miaka 50.
Jeshi la marekani =trillion1500.
Tanzania budget =trillion30.(tena na misaada ndani yake zaidi 60percent).
 
Hakuna jambo la kijinga Kama kujilinganisha sisi Tanzania na USA na ndio maana tunawaza na kuota Tanzania iwe Kama New York ndani ya mwaka mmoja.
 
Fikiri kabla hujafanya malinganisho. USA muungano wa majimbo/nchi hamsini. Tanzania muungano wa nchi mbili. Fikiria tofauti iliyopo kati ya ukubwa na pia uchumi wa Mataifa haya.
 
BAJETI YA ULINZI TU NI BAJETI YA AFRIKA NZIMA.

HV MAREKAN UNAANZAJE KUIFANANISHA NA TZ?? NCHI IMEWEKEZA DUNIA NZIMA..
 
Walt Disney na 21st century zipo mataifa mengi na mabara almost yote hizo two companies zina subsidiary companies kibao usifikiri ni hizo mbili kama zilivyo kama Walt Disney China ni kubwa kuliko Marekani kwenyewe 21st century ni company inayomilikiwa na world elites ukisikia wayahudi waliopo kuanzia kwenye gold oil na diamonds ndio wenye hiyo companies na hauta kaa uwaone sijui Forbes au world wealthiest rankings.
Ujuaji tu,,kiufupi mambo haya unaeyelewa nusu
 
Achana na hako ka deal kadogo soma hili deal sasa
 
Attachments

  • nimblenews-20180107-0001.jpg
    nimblenews-20180107-0001.jpg
    84.4 KB · Views: 22
Back
Top Bottom