byembalilwa
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 2,066
- 951
Miaka miwili kabla ya utawala wa Magu kulikuwa na msemo mtaani hasa kwa yeyote anayeibuka na utajiri wa ghafla.
Utasikia huyo Freemason ,kwasasa huo msemo umeanza kusahaulika kabisa vinywan mwa watu,
Hivi Freemasons nao vyuma vimekaza Siku hizi hawatoi pesa?Au walikuwa wapiga dili wanapitia mgongo huo.
karib tujadili.