boyson onlye
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 1,108
- 1,404
Habarini
Blood group yangu ni O
Ninatabia ya kutokamilisha mipango yangu, yaani naweza nikapanga jambo/biashara/masomo then nikaanza utekelezaji nikifika njian kwenye utekelezaji naghairi kabisa, ni mwepesi sana wa kukatishwa tamaa, nafikia hatua najichukia kabisa, sioni shida kuacha kitu nilichokianzisha hata kama nimetumia gharama, lakini nikikaa huwa nakuwa na mipango mizur sana,
Naweza nikawaza kufanya biashara flani nikafanyia research kila kitu ila mtu akija na wazo la biashara nyingine basi hili la kwanza naliweka kapuni mda huohuo
Wakuu naombeni msaada wenu hii hali ya kutopambana na kitu ninachokianzisha mpaka kiishe inaniumiza sana, nawaza vitu vingi sana na nataka nivifanye kwa pamoja, najaribu kujizuia nashindwa
Najikuta napoteza mda mwingi bila kufanya chochote
Msaada wa kimawazo jinsi gani niitawale akili yangu na kusimamia mawazo yangu