Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Uzinduzi wa jengo wa mtu mweupe ni kitu cha kawaida sana hakuna gharama wala usumbufu wa watu na shamrashamra zisizo na ulazima. Haya uje kwa uzinduzi wa jengo wa Mtz ni karaha,mbwembwe,watu...
0 Reactions
2 Replies
823 Views
Toka 2014 mpaka sasa,inakaribia takribani miaka 5 tangu (WILLIAM FULTON) mmiliki na mkurugenzi wa kituo cha MANGO TREE ,kituo kilichokuwa kikihusika na Msaada Wa kielimu kwa Yatima,Wenye...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
[emoji15] [emoji15] Nimetoa waenda kwa miguu wakikamatwa na kutozwa faini kwa kukatisha barabara ktk eneo lisilo na pundamilia....Ndoto huna mamlaka shindwa kabisa
0 Reactions
3 Replies
607 Views
Eneo zuri na muafaka kwa kuwekeza... Kilimo /ufugaji. Lipo Bagamoyo , pale makurunge njiapanda ya kuelekea saadani bei ni 3.5m@ heka moja na kuna ekari mbili. Umeme upo jirani 0716548250
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Wanafunzi saba wa chuo kikuu cha waislamu Morogoro wamekatisha masomo yao kwa kufukuzwa chuo hapo kwasababu mbalimbali, sita kati yao wamefukuzwa moja kwa moja wasirudi chuoni na mmoja amefukuzwa...
48 Reactions
288 Replies
36K Views
Wazima humu? Kwa muda nimekuwa nikitaka kutoa elimu hii kwa faida ya wengi ili watu wachukue tahadhari, ila nafsi inanihoji “kwa faida ya nani? ili iweje?” etc, ila nimeamua leo kutenga muda na...
38 Reactions
181 Replies
28K Views
Habari za mida mibovu, mida ya kupumzisha miili yetu kutokana na pilika mbali mbali za mchana kutwa. Wakuu mida hii naandika huu uzi nipo Makambako naelekea Dar au Tanzania nataka nitoboe mpaka...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
NOTE: HILI SWALI LINA JIBU ZAIDI YA MOJA Pia soma hapa ----->>>>> Ushauri kwa Mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya, Wizara ya michezo, TFF pamoja na BMT
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Assalam aleykum waungwana, Mimi ni Muislamu mwenye akili timamu na ninaitakidi Sheikh Alhadi ni Muislamu mwenzangu. Huwenda baadhi ya watu watahisi kama mimi sio Muislamu ila nimetumia mwanya...
56 Reactions
562 Replies
62K Views
Wadau naomba Kwa yeyote anayeweza kutoa ushauri wa tiba ya vipele vinamtokea mtoto mara kwa mara na kutibiwa bila mafanikio.huwa vinamuwasha na havitoi usaha na vinamletea Kuchemka kichwa
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Salute wakuu, Kipindi nimetoka bush ndio nimeingia ingia jijini nilitapeliwa mara mbili miaka hiyo, mara ya kwanza nilitapeliwa kwa kuuziwa sabuni badala ya simu (85,000) na mara ya pili...
2 Reactions
9 Replies
893 Views
Serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeitaifisha shehena ya Sukari kutoka Kenya ambayo imekamatwa mpakani Namanga ikiingizwa nchini kwa njia za magendo Sukari hiyo imekutwa ikiwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Sukari inayodaiwa kutoka nchi jirani ya Kenya imekamatwa mpakani Namanga ikiingizwa nchini Tanzania kwa njia ya magendo. Maafisa waliikamata sukari hiyo ikiwa imewekwa kwenye mifuko ya Azam na...
1 Reactions
9 Replies
46K Views
Inashangaza sana! Juzi tu tulikuwa tunapata shida ya mafuriko. Leo hii vumbi kila kona nchi nzima. Kila mkoa kuna shida sana!Vumbi mno.Dar mpaka moro.Dom mpaka Moshi. Moshi mpaka Mbeya. Nini shida?
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wapendwa! Naomba kufahamishwa,fedha inapotolewa na wizara kwenda kwenye mradi wowote ni lazima ipitie hazina?
0 Reactions
0 Replies
438 Views
nikitizama waaislam wanaunga mkono mamlaka na harakati za wapalestina na wakristo wapo upande wa israel.je israel inawakilisha ukiristo na kiaje na palestine inawakilisha uislam??ki vipi???
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wanajamvi na watanzania napenda kuwataarifu kuwa katika malipo ya madai ya watumishi kuna uonevu mkubwa sana.Watumishi wengi hawapo sijui ni kwanini? Mfano ni HALMASHAURI YA MERU,watumishi wengi...
0 Reactions
2 Replies
983 Views
Wakuu, Kuna vitu vingine tunatamani tu tuone vikitokea lakini haviwezi kutokea kwa sababu tuna limitation yetu ya kufikiri na hakuna namna ambayo mtu anaweza kufanya jambo above & beyond uwezo...
0 Reactions
1 Replies
978 Views
Nimekuta ubishani wa nchi alozaliwa Yesu. Kwamba mji huu wa Bethlehem upo Israel au Palestine? Jibu sahihi ni kuwa Bethlehem IPO nchi ya Palestine ambako 95 % ni waislamu. Ni mji uliopo kusini mwa...
25 Reactions
512 Replies
61K Views
Ngono ni mashindano yasiyokuwa na mshindi. Mashindano ambayo wengine hutumia dakika tano wengine zaidi ya masaa matatu lakini baada ya kupizi ndio mwisho wa safari. Wengine hufanya kwa ushindani...
8 Reactions
46 Replies
18K Views
Back
Top Bottom