Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

mara nyingi unapopita maeneo ya beach au au recreation(maburudisho) watu hawa huwa wako familia zima... baba mama watoto babu na bibi wafanyakazi hata wageni... lkn hata beach za bure hasa jijini...
16 Reactions
82 Replies
10K Views
Mods naomba muulinde huu uzi! Kilimo madaftari na Elimu Mpesa /TigoPesa/ Airtel Money kimekuwa kinawapa vijana mihemko sana hasa wanaomaliza Vyuo Vikuu hapa Tanzanoa. Kana kwamba pesa ni rahisi...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Maisha ni game la hovyo sana! Dsm mtu akiwa Mtendaji wa Kata ana pesa kuliko Engineer wa Wilaya (Maji /Kilimo/Umwagiliaji na hata tu wa Ujenzi).Dsm ukiwa Afisa wa Serikali unakuwa na 'mazutu'...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii imemkuta rafiki yangu wa karibu sana....hali waliyofikia na mke wake hawezi tena kuendelea naye...BT hawezi kuoa tena cz aliapa mpaka kifo,akitaka kuoa labda yule mke wake afe....mbaya zaidi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Tahadhari tumepewa, Habari zenu mabibi na mabwana! Poleni na majukumu, Napenda niwashirikishe jambo lililo nikuta ili kukuokoa wewe au mwingine. kuna wizi wa ajabu wa aina fulani ya madawa ya...
12 Reactions
109 Replies
10K Views
Women in Ghana have been warned against a growing trend for taking pills during pregnancy to lighten the skin of their unborn babies while they are still in the womb. Medical experts say these...
0 Reactions
0 Replies
496 Views
Ndugu zangu Watanzania mnaosoma uzi huu, Leo nimeona taarifa ya iliyotolewa na taasisi mbili nchini, Baraza la Sanaa la Taifa(BASATA) na Mamlaka ya Mawasiliano Nchini(TCRA) ambayo inautaarifu...
3 Reactions
50 Replies
7K Views
" Tukikukuta na Mwanafunzi yoyote umesimama au umekaa nae Kichochoroni Sisi tunapambana na Wewe kwa Kukukamata na Kukufunga kwa kuharibu Masomo ya huyo Mtoto wa Kike ". Mheshimiwa Waziri Mkuu...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
Mtu yeyote anaweza kuhimili mikikimikiki lakini ukitaka kupima uwezo/tabia ya mtu fulani basi mpe madaraka/mamlaka/sehemu ya maamuzi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kali GNU/Linux Rolling 64-bit hii ni moja kati ya distro ya linux ambayo natamani watu mjaribu kutumia ili muone raha au amani ya kutumia opensource technology jamani hilo ni biti tu la kujaribu...
0 Reactions
2 Replies
867 Views
Nikiwa nime kaa natafakali kwa kina maneno ambayo watu wengi wana yaletea mzaha mzaha hivi:"eti oohh wa Tanzania waoga",mala wengine "kunawatu hatari ndani ya hili taifa". Hii nikwa Wale wasiyo...
0 Reactions
0 Replies
895 Views
maandamano ya ukuta lilikuwa jaribio la kwanza la mapinduzi lililoferi kabla ya kuanza. now kuna jaribio la pili la mapinduzi 26/4 litaferi, litapiga hatua moja mbele au litafanikiwa inategemea...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Hamjambo wadau wa JF. Nimepata mwaliko wa kwenda kwenye tamasha moja la sanaa huko GABORONE-BOTSWNimepata mwaliko wa kwenda kwenye tamasha moja la sanaa huko GABORONE-BOTSWANA. Ninaomba kujua...
1 Reactions
20 Replies
7K Views
Kuna uzi humu unaosema "Wanaotaka kuandamana someni hapa" Huu nao ni kinyume chake. Mods hatutaki double standards.
16 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari wakuu..! Nimekaa nikawaza kuja na ushauri kwa mawazir wa wizara zote kuwa wanapaswa kujiuzuru Ili kulinda heshima zao,na usalama wa nchi Yao Kama wanavyo kaa wakiimba uzalendo, kwa hoja...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Huwa naona na kusikia mtukufu kaweka jiwe la msingi ujenzi wa..., hili jiwe linamaana gani?! Ma engineer huwa mnasomea haya mavitu pia?! Ni sehemu ya mafunzo kwenye syllubus zenu?! Kuna mengine...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Baada ya bwana Musiba kutaja hadi watanzania wanaotumika na FBI, leo nimepata data za jinsi baadhi ya waandishi wa gazeti hilo hapo juu wanavyotumika na Mossad ya Israel ili kutufitinisha...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Hii habari Imeandikwa kwenye Gazeti la Mwananchi na Mtanzania kwamba Siku Moja tu baada ya Kumfunga Mh. Joseph Mbilinyi ' Sugu' na Katibu wa Nyasa Emanuel Masonga.Yule hakimu aliyewafunga Bwana...
2 Reactions
41 Replies
7K Views
Hili ni tukio kubwa lakini sioni likipewa attention na media, ni baada ya miaka mingi Sana kupita mlima Meru mkoani Arusha umeonekana kuwa na theluji nyingi kama Ile ya mlima kilimanjaro kwa...
27 Reactions
113 Replies
24K Views
Huwa tunalia kwa uchungu sana tunapompoteza mwenzetu kwa kufariki na hata wengine kupoteza fahamu,kushindwa kula wala kunywa maji na mambo mengine mengi tu ya yanayompata mwanadamu wakati maiti...
11 Reactions
46 Replies
6K Views
Back
Top Bottom