Marce Martella
Member
- Feb 23, 2018
- 26
- 20
Habari zenu,
Nilikuwa napenda kuuliza kama Smile na TTCL zimefika Sumbawanga na kama zimefika je speed yake internet ipoje? Coz hivi sasa Halotel ameshapoteza dira na hakuna mtandao cheap zaidi ya TTCL na Smile ni hayo tu wakuu.