Msaada wenu wakuu naomba kufahamishwa mji mgani SA kwa kuanzia maisha.

vfsuccessfully

Senior Member
Jul 16, 2017
180
64
Habari Zenu wakuu.

Kama hali inavyo ji eleza hapa Tanzania nime patwa na wazo la kwenda south Africa kutafuta maisha kwa upande wa taaluma o level na pia ni dereva kwa hiyo nataka nikifika nianze na swala la kuajiriwa kwa hiyo naomba wenye uzoefu wanijuze pia gharama za maisha.
Asanteni natumaini mtanijuza.
 
Nenda Jobarg au Pretoria
 
Back
Top Bottom