Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimesikitishwa kuambiwa kuwa kuna story yangu moja ambayo niipost hapa jana saa 7:20 mchana kwa saa za afrika mashariki na kati kuna mtangazaji mmoja aliirusha kwenye redio yake usiku pasipo...
30 Reactions
159 Replies
21K Views
Kumekuwa na ukosefu wa maeneo ya kuzikia wafu. Maeneo yamejaa. Watu wanazikwa kwa kubanana na wengine kuzikwa juu ya kaburi la mfu mwingine. Nashauri watu wawe wanazikwa huku wamesimama ili ku...
0 Reactions
0 Replies
646 Views
Wasambaa /Wazigua /Wabondei ni watu wa ajabu sana! Tanga Mjini baiskeli ni nyingi kuliko watu. Mpaka zinasimama kwenye mapitio ya waenda kwa mguu yaani 'Zebra'. Baiskeli zinakuwa foleni nyuma na...
4 Reactions
26 Replies
6K Views
nakumbuka alipo shambuliwa raisi wa TLS albadiri ilisomwa lakini matokeo yake sija ya shuhudia hivi kweli ilitoa matokeo jamani mimi natamani nijue
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za jioni Series mpya ya kiswahili! ina hadithia mahusiano ya binti Hariri na mchumba wake Aaron. Familia yake Aaron hawamtaki Hariri na wamempangia msichana mwingine wa kuoa! checki hapa...
1 Reactions
1 Replies
773 Views
Habari za jiioni wana Jamvi,napata wakati mgumu sana kutumia hii wovuti ya Kujiunga ili kupata Salary slip.http://http://www.utumishi.go.tz/watumishiportal/signup/signup.php. Nina zaidi ya week...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Tuweke itikadi zetu za kisiasa pembeni, katika wabunge waliopo hivi sasa, hata wale ambao wana nafasi nyingine serikalini ni wabunge gani ambao unawakubali kifikra,jinsi ya uwasilishaji Wa hoja...
0 Reactions
1 Replies
779 Views
Ni muda sasa sijamsikiaa huyu mzee.. Nilisikia kapewa ubaloz wa shirika fulan nmesahau jina.. Mzee aliejua ku deal na media...mzee aliejua kujifaidisha na kiki... Kapiga hela zake kwenye media na...
1 Reactions
3 Replies
819 Views
Jamani nilipigwa faini ya makosa barabarni ya tsh 30000/ lakini kitu kilicho nishangaza nikapewa risiti ya karatasi iliyo andikwa kwa mikono,lakini taasisi nyingi zinatumia hizo mashine kwa mujibu...
0 Reactions
3 Replies
763 Views
Ndugu zangu Makonda acheni tabia hii ni mbaya sana yaani haifai. Ndugu zangu wana JF, sitaki kuwachosha sana, mimi nachukia sana hii tabia mbaya ya ndugu zetu makondakta ya kujisahaulisha...
0 Reactions
6 Replies
866 Views
Sizungumzii mambo ya siasa la hasha... Ni katika ulimwengu wa roho fikra na mustakabali wa mtu... Nimeendelea kupata pole nyingi na kusikitikiwa juu kwamba mimi sio mimi tena... Nimekuwa mateka...
10 Reactions
53 Replies
4K Views
Mchungaji mmoja kutoka Nigeria (39), Andrew Ejimadu wa kanisa la Christ Freedom Ministries amezua gumzo mtandaoni baada ya ku-post picha zake katika mtandao wa Facebook wakati wa kuabudu...
1 Reactions
46 Replies
7K Views
SIKU chache baada ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kusajili na kuthibitisha dawa tano za asili ikiwemo Ujana inayotibu nguvu za kiume, imebainika kuwa suala hilo...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Wanasema endapo utafanikiwa kushuhudia huyu mnyama akizaa basi utakuwa ni mtu mwenye bahati. Amekuwa ni mnyama ni ngumu sana kumshuhudia akijifungua hata wachungaji wenyewe na ni ngumu kwani...
3 Reactions
27 Replies
9K Views
Shamba la miti Sao Hill likishirikiana na Kampuni ya Art International limeanza utafiti wa kugema utomvu wa miti ya Misindano kama njia ya kujiongezea kipato kutokana utomvu huo kuuzwa kwa sh. 750...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Tukio hili lilitokea mwaka 1994 katika kijiji kimoja kilichopo katika mkoa mmoja uliopo magharibi mwa Tanzania. CHANZO CHA KUBAKWA Chanzo cha tukio hili ni...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mtoto wa mdogo wa miezi 10 kutoka China ambaye alizaliwa na miguu mitatu umefanyiwa upasuaji wa masaa kumi na kuondolewa mguu mmoja. Madaktari nchini China wamefanikiwa kuutoa mguu huo watatu na...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Mida hii, maeneo ya Mikocheni B, Baraka plaza, raia wa China amechana noti ya Shillingi elfu moja akiita Toilet Paper. Huyu jamaa alichukua Bajaji kwenda sehemu fulani. Maelewano ikawa ni...
12 Reactions
215 Replies
34K Views
Habari wakuu, Ninatumaini sote ni wazima na tunaendelea na shughuli zetu za kila siku pasi na mawaa yoyote. Nimewahi kusikia kuna 'international driving licence' zinazotolewa Tanzania.Nimejaribu...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Salam wanabodi, Naipongeza Serikali kwa huduma kwetu wananchi. Kero kwa leo ni kuwa baada ya kupigwa marufuku kwa jimbo za dini ndani ya mabasi makubwa kwa sasa inaonekana filamu nyingi...
4 Reactions
53 Replies
5K Views
Back
Top Bottom