Nimem miss dr..shika.

Nimem miss dr..shika.

pathfinder_tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
356
Reaction score
377
Ni muda sasa sijamsikiaa huyu mzee..
Nilisikia kapewa ubaloz wa shirika fulan nmesahau jina..
Mzee aliejua ku deal na media...mzee aliejua kujifaidisha na kiki...
Kapiga hela zake kwenye media na makampun tofaut kwenye matangazo na alipoona amepata alichokitaka na akajua kwamba hawe kudumu muda mrefu akapotea..
Nmeamin kwenye elimu yake na kucheza na wakati.. tofaut na watu wanaopenda kiki halafu haziwafaidish..

Harmorapa amebak anaponda watu tu mitandaon na hakuna mtu mwenye time nae..
Alikua kituko cha watu.. na alichekesha haswaa watu kwa matukio yake lakn hana kipaj cha mzik wala mzik si kitu ambacho kingempa mafanikio kama sio kiki za ishu zingne.. lakn ame feli kwenda na wakat na matukio.. dead n gone...
Hail dr.shika..
Popote ulipo hakika mia 9 itapendeza..
 
Back
Top Bottom