Nani aliwahi kumuona Punda akijifungua?

Nani aliwahi kumuona Punda akijifungua?

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Posts
4,291
Reaction score
14,786
Wanasema endapo utafanikiwa kushuhudia huyu mnyama akizaa basi utakuwa ni mtu mwenye bahati.

Amekuwa ni mnyama ni ngumu sana kumshuhudia akijifungua hata wachungaji wenyewe na ni ngumu kwani hata akiwa machungoni na uchungu ukampata basi atafanya kila njia akukimbie aende mbali huko akajifungue nia yake usifanikiwe kuliona wala kulishika lile kondo lake la uzazi.
 
Ingia Youtube utashuhudia, sasa sijui nayo kama itakuwa tena ni bahati
 
Mkuu nikiri tu niliwahi kizalisha punda Mimi na mwenzangu tukiwa machungoni
 
Hii mpya nilikua sijawahi kusikia
 
Wanasema endapo utafanikiwa kushuhudia huyu mnyama akizaa basi utakuwa ni mtu mwenye bahati.

Amekuwa ni mnyama ni ngumu sana kumshuhudia akijifungua hata wachungaji wenyewe na ni ngumu kwani hata akiwa machungoni na uchungu ukampata basi atafanya kila njia akukimbie aende mbali huko akajifungue nia yake usifanikiwe kuliona wala kulishika lile kondo lake la uzazi.
Haitatokea punda kujifungua labda tu kama utajenga mahusiano naye.
 
Bahati mbaya punda wengi wa hapa nyumbani ni wanaume halaf wanawake hawajazaa, wengi wao wakipata mimba wanazitoa.
 
Wale wa singida wanazalisha sana
 
Back
Top Bottom