ulaya12
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 834
- 909
Tuweke itikadi zetu za kisiasa pembeni, katika wabunge waliopo hivi sasa, hata wale ambao wana nafasi nyingine serikalini ni wabunge gani ambao unawakubali kifikra,jinsi ya uwasilishaji Wa hoja akiwa bungeni kiasi kwamba wakati akiwasilisha unamuelewa vizuri bila ya shida yoyote. nimetoa angalizo hapo juu kuwa itikadi yako hapa haitakiwi na utoto utoto siutaki katika Uzi wangu(mimi naanza na Zitto Kabwe ) endeleeni kutiririka