Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Alianza kwa kasi sana kila siku kufanya ufatiliaji na kutoa matamko, sasahivi kapotea sana hata hasikiki
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mbona kimya hivi Sheikh Mkuu wa BAKWATA Dar? Ni kipindi kirefu hatujasikia matamko yake. Kipindi hiki ambacho tumekuwa na sintofahamu kuhusu usalama na amani ya nchi kwa hakika alivyokuwa msemaji...
14 Reactions
93 Replies
10K Views
Bweni la wavulana katika Shule ya Sekondari ya Chief Kidulile wilayani Ludewa mkoani Njombe limeteketea kwa moto uliounguza nguo, vitabu na madaftari ya wanafunzi hao. Tukio hilo limetokea jana...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Dunia imempoteza Faru dume wa mwisho mweupe, amekufa huko nchini Kenya akiwa na umri wa miaka 45. Amewaacha faru wawili weupe wakike pekee. Faru huyo aliyepewa jina la 'Sudan' alikuwa akitibiwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Binadamu tumefikia kuwa na roho za kinyama kiasi hiki? Unaweza kumfunga hivi kiume kisicho na hatia? Tutumie njia kama hii kuzitaka mamlaka husika zimtafute, zimkamate na kumchukulia hatua mtu...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Siku hizi kwa wanaume kila siku mara kunywa supu ya pweza, mara tafuta viagra au mara matikiti, matango, mihogo na sasa majongoo ya baharini. Yote hiyo ni kwa ajili ya wanaume kuhangaika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
nisaidie telegram channel nzuri kutoka Tanzania
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wanajamvi !, kuna ndugu yangu anatarajia kuoa mwezi Wa 6 mwaka huu. Sasa hajui aanzie wapi na amalize vipi. Alikuwa anaomba ushauri kwa wale wenye experience na haya mambo ya harusi katika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Jmosi ya leo tulivu nikapanga niende escape one kiwanja kimoja maarufu sana mjini, japo kwangu ilikua ni mara ya kwanza..nimeenda na wenzangu walitangulia wakaingia bure mimi...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Nchi 32 za Afrika ikiwemo Tanzania zimeutaka Umoja wa Ulaya (EU) kusitisha biashara ya pembe za ndovu ili kuokoa tembo waliosalia barani humo. Makubaliano hayo yalifikiwa nchini Botswana hivi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naangalia TBC1 LIVE mkutano wa taifa wa baraza la kitaifa la biashara ikulu-Dar es Salaam, naona mzee Reginald Mengi amepewa nafasi ya kuongea ila nilichogundua ni kwamba huyu mzee hayuko sawa...
16 Reactions
265 Replies
29K Views
Habar zenu watanzania wenzangu! Je chuo tajwa hapo juu ni kwa ajili ya wanajeshi only au hata raia wanaruhusiwa kusoma hapo? karibuni
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ninachukua nafasi hii kuwashukuru watendaji na waanzilishi wa huu mtandao wa kijamii unao tuma fursa sisi wananchi kueleza hisia na mawazo yetu kwa viongozi kwa uwazi.! Pili namshukuru Mh Rais...
1 Reactions
3 Replies
570 Views
Pamoja na kukosekana kwa idadi kamili, lakini ukweli ni kuwa Tanzania, kama ilivyo kwa nchi zingine, kumekuwepo ongezeko la wavulana na hata wanaume, kuonekana kuwa na matiti makubwa. Kawaida...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nimerudi kutoka safari ya maziko nilipomsindikiza rafiki yangu kwenye kijiji kimoja kipo wilaya ya Mahenge kinaitwa Mwaya, ni mbali kiasi kutokea Dar ambapo mnakwenda hadi Ifakara mnavuka mto...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu, Juzi Ijumaa wakati natoka safari ya mbali nilikua tayari nilishaingia ndani ya jiji la Dar. Basi kama ilivyo ada ya mizunguko yangu kuna jamaa (wa nyumbani) ambae ni boda boda...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
0 Reactions
4 Replies
902 Views
Kumekua na uonevu mkubwa sana pamoja na mazingira ya rushwa kubwa sana kwa maofisa wa tra makambako mkoa wa njombe.kwanza ukienda kukadiriwa unapigwa bei kubwa ambayo hailipiki nia yao uwatafute...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
The government of Kenya finally submitted to the demand of IMF structural reforms. IMF literally now controls them and will have to oversee their budget and provide recommendation based on what...
0 Reactions
1 Replies
462 Views
Back
Top Bottom