Kumekuwa na ukosefu wa maeneo ya kuzikia wafu. Maeneo yamejaa. Watu wanazikwa kwa kubanana na wengine kuzikwa juu ya kaburi la mfu mwingine. Nashauri watu wawe wanazikwa huku wamesimama ili ku save eneo.
Huo ni ushauri wangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.