Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Arusha ni mkoa ambao kwa kiasi kikubwa watumia vyombo vya usafiri wamekuwa wakijiendeshea vyombo hivyo kiholela bila kujali taratibu za uendeshaji na hii inasababisha traffic jam ambayo siyo ya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna mtindo mpya umeibuka ambapo kuna watu wanaandika namba za simu kwenye kuta za vyoo na hasa vyoo vya haja ndogo kwa wanaumena hususan kwenye BAA Maana yake nini?
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Miaka mingi tafiti zimefanyika kwenye jamii na zimeandikwa kwa lugha ya Kiingereza. Tafiti hizi haziwasaidii watanzania kwa kuwa hawawezi kuzifanyia kazi. Ukienda nyumbani kwa profesa yeyote...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watu 7 wamefariki katika ajali iliyohusisha gari aina ya Scania Lori iliyotokea katika kijiji cha Mkongoro Kigoma. Chanzo cha ajali, ni Dereva wa Lori kushindwa kulimudu gari wakati akishuka...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Kuna kipindi walikuwa wengi sana..kiasi kwamba huku uswahilini ilikuwa unaweza kupika nyama yako jikon akaja kufunua ili achukue! Akina mama ilikuwa unakuta anaosha vyombo nje huku anafukuzana...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa TBC, Dr. Ayoub Rioba amepata ajali ya gari katika eneo la Mgombe, Kigoma ambapo mtu mmoja amefariki dunia. Taarifa hizo zimethibitishwa na Kamanda Wa Polisi Mkoa wa...
3 Reactions
54 Replies
9K Views
Mtu mmoja kwa jina Benard Shumba mkazi wa Singida anashikiliwa na jeshi la Polisi kwa kumuua mke wake miaka nane iliyopita kisha kuuficha mwili huo kwenye mbuyu. Mtuhumiwa amekiri kosa. Chanzo...
0 Reactions
62 Replies
12K Views
Kuna taarifa ajali ya New Force eneo la mpaka wa Momba - Mbozi eneo la kwa wachina, hakuna vifo lakini kuna majeruhi. Taarifa zaidi tutawaletea kadiri tutakavyo pata. ======== Ajali imetokea...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Katibu Mtendaji wa baraza hilo, Dk. Charles Msonde. Dar es Salaam. Wanafunzi wa darasa la saba ambao watafanya mtihani mwaka huu watakutana na mabadiliko ya mfumo wa utungaji wa mtihani wa...
0 Reactions
16 Replies
18K Views
Habari wakuu? Hivi ni kwanini, katika nchi yetu baadhi ya viongozi au wafanyakazi walostaafu kama wanajeshi na watumishi wengine, maaskari na maofisa wengine huteuliwa kushika nafasi zingine za...
0 Reactions
3 Replies
790 Views
Mkuu wa mkoa( mstaafu )wa Kilimanjaro,Sadick Meck Said,akisisitiza jambo kwa Christopher Mwita Gachuma,walipokutana Jana jijini Dar es salaam. Anayesikiliza pembeni ni Santosh Vahile (Picha na...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Bila shaka umewahi kusikia watu mbalimbali wakifanyiwa upasuaji kwa ajili ya kupandikiziwa viungo mbalimbali vya mwili kama figo, moyo, macho na vinginevyo. Kwa msichana Paigey Cakey imekuwa ni...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau tulioajiriwa; Bila shaka wengi wetu tunapenda kuona tuna kazi mbalimbali za pembeni zinazojazia kibubu cha kila mwisho wa mwezi. Hivi kwenye Mshahara, ukiamua kuwa unasave Kiasi Fulani...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Kama ni dhahili Mama huyu asiye na upendo amefanya haya maovu dhidi ya sekta hii ya Afya nchini kwetu, tunaomba sana serikali itusamehe kwa vijembe tulivyoirushia siku zote. Hili sasa linanipa...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Mfanyabiashara Hariri Hariri amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroin zenye uzito wa gramu 214.11. Chanzo: Swahili Times
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Ni mwanafunzi wa kidato cha nne shule ya Secondari Kaliua mkoani Tabora wilaya ya Kaliua. Alizaliwa hana miguu wala mikono na mpaka sasa anamudu kuandika vizuri na kufanya shughuli zake ndogo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu nimefatilia nyimbo zote kumi na tano zilizofungiwa, Mpaka sasa wimbo wa young D bongo bahati mbaya sijui wametumia vigezo gani kuufungia,hapo ndipo nikawa namaswali kibao mojawapo ni kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
769 Views
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Blandina Nyoni, ambaye amesimamishwa kupisha tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi yake, ameibuliwa kashfa mpya ya kuhamisha mashine na kuzipeleka...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Blandina Nyoni ,KATIBU MKUU wizara ya afya ,ambaye pia aliwahi kuwa mhasibu mkuu wa serikali ,na kuwa katibu mkuu wizara ya mali asili ni mojawapo ya wanawake maarufu nchini, Pengine labda...
2 Reactions
40 Replies
10K Views
Back
Top Bottom