Mtangazaji wa Clouds FM, Diva the bawse anatumia stori za JamiiForums kwenye kipindi chake

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
Nimesikitishwa kuambiwa kuwa kuna story yangu moja ambayo niipost hapa jana saa 7:20 mchana kwa saa za afrika mashariki na kati kuna mtangazaji mmoja aliirusha kwenye redio yake usiku pasipo kusema kuwa ameitoa hiyo story Jamiiforums specifically toka kwa Gudume Gwa Mbegu.

Story yenyewe ni hii > Kwa hili Dada zangu mnakosea. Yanapowarudia mnasema Sisi Wabaya."Malipo ni hapa hapa Ulimwenguni"

Jambo hili limenihuzunisha, limenisikitisha, limenisononesha, limenikwazisha moyo, limenikasirisha, limenighadhibisha, limenikangaisha na kunihamasisha sana kufanya jambo flani kwake. Ameliamsha Dude la Gudume.

Mods na members wote humu ndani napenda kuchukua nafasi hii kumpa huyo mhusika siku 7 awe amenitafuta na aje kwangu haya mambo tukae/lale chini tuyatafakari, tuyajenge/tuyazungumze tuyamalize mimi na yeye tu ama sivyo nitamfungulia mashtaka ya plagiarism maana she has taken my work and made it hers. Ni kosa.

Mimi stories zangu zote zina copyright so ingekuwa vyema hata kwa heshima ya JF angesema hiyo stories ameitoa huku. Angefanya hivyo tu wala kusingekuwa na shida. Sasa analazimika kuonana na GuDume na kupata wasaa yeye peke yake na Gudume kujadili jambo hili.

Binafsi simfaham ila ntamfuatilia nimfahamu hata nimjue ni mtu wa namna gani na kwanini afisadi kazi zangu. Ajue ameiba mali ya mtu.

Na nawaomba kabisa wana JF wenzangu tushikamane katika hili ikiwezekana tujiandae kufanya maandamano makubwa ya kupinga kazi zetu kuibiwa na watangazaji waliokosa ubunifu. TENA AJUE JF KUNA WANASHERIA WENGI SANA hapa naenda kudai pesa ndogo tu kama Mil 500 za Kitanzania.wala simdai nyingi. otherwise anitafute tuyaongee labda kwa siku nzima au usiku mzima anishawishi nisifungue kesi. nikumbusheni majina ya wale mawakili wetu wa JF.

Najua huyo Diva atakuwemo humu ndani.
 
sure nimempa siku 7 tu. anitafute nimwelekeze napoishi aje tuonane sisi wawili tuangalie kwanza kama tunaweza kuyajenga tukayamaliza ama sivyo asije akaniona mimi mbaya.. nimetoa hili kwanza kama onyo.

huu ni wizi uliokithiri.
Diva analazimika kuonana na gudume na kupata wasaa yeye peke yake na kugudume kujadili jambo hili.
 
Nimesikitishwa kuambiwa kuwa kuna story yangu moja ambayo niipost hapa jana saa 7:20 mchana kwa saa za afrika mashariki na kati kuna mtangazaji mmoja aliirusha kwenye redio yake usiku pasipo kusema kuwa ameitoa hiyo story Jamiiforums specifically toka kwa Gudume Gwa Mbegu.

Story yenyewe ni hii > Kwa hili Dada zangu mnakosea. Yanapowarudia mnasema Sisi Wabaya."Malipo ni hapa hapa Ulimwenguni"

Jambo hili limenihuzunisha, limenisikitisha, limenisononesha, limenikwazisha moyo, limenikasirisha, limenighadhabisha, limenikangaisha na kunihamasisha sana kufanya jambo flani kwake.

Mods na members wote humu ndani napenda kuchukua nafasi hii kumpa huyo mhusika siku 7 awe amenitafuta na aje kwangu haya mambo tukae/lale chini tuyatafakari, tuyajenge/tuyazungumze tuyamalize mimi na yeye tu ama sivyo nitamfungulia mashtaka ya plagiarism maana she has taken my work and made it hers. Ni kosa.

Mimi stories zangu zote zina copyright so ingekuwa vyema hata kwa heshima ya JF angesema hiyo stories ameitoa huku. Angefanya hivyo tu wala kusingekuwa na shida. Sasa analazimika kuonana na GuDume na kupata wasaa yeye peke yake na kugudume kujadili jambo hili.

Binafsi simfaham ila ntamfuatilia nimfahamu hata nimjue ni mtu wa namna gani na kwanini afisadi kazi zangu. Ajue ameiba mali ya mtu.

Na nawaomba kabisa wana JF wenzangu tushikamane katika hili ikiwezekana tujiandae kufanya maandamano makubwa ya kupinga kazi zetu kuibiwa na watangazaji waliokosa ubunifu.

Najua huyo Diva atakuwemo humu ndani.
Hahaaa, si useme tu kuwa unamuandalia dozi yake ya "malipo ni hapa hapa duniani"
 
sure nimempa siku 7 tu. anitafute nimwelekeze napoishi aje tuonane sisi wawili tuangalie kwanza kama tunaweza kuyajenga tukayamaliza ama sivyo asije akaniona mimi mbaya.. nimetoa hili kwanza kama onyo.
hakuna legal person anaitwa gu dume, hayupo
 
Sijajua umetumia akili,elimu gani kulisema hili.maana wenye akili wangehoji kwanza na si ku conclude as if you have proven that. We ndo diva nini?

hakuna legal person anaitwa gu dume, hayupo
 
Nimesikitishwa kuambiwa kuwa kuna story yangu moja ambayo niipost hapa jana saa 7:20 mchana kwa saa za afrika mashariki na kati kuna mtangazaji mmoja aliirusha kwenye redio yake usiku pasipo kusema kuwa ameitoa hiyo story Jamiiforums specifically toka kwa Gudume Gwa Mbegu.

Story yenyewe ni hii > Kwa hili Dada zangu mnakosea. Yanapowarudia mnasema Sisi Wabaya."Malipo ni hapa hapa Ulimwenguni"

Jambo hili limenihuzunisha, limenisikitisha, limenisononesha, limenikwazisha moyo, limenikasirisha, limenighadhibisha, limenikangaisha na kunihamasisha sana kufanya jambo flani kwake. Ameliamsha Dude la Gudume.

Mods na members wote humu ndani napenda kuchukua nafasi hii kumpa huyo mhusika siku 7 awe amenitafuta na aje kwangu haya mambo tukae/lale chini tuyatafakari, tuyajenge/tuyazungumze tuyamalize mimi na yeye tu ama sivyo nitamfungulia mashtaka ya plagiarism maana she has taken my work and made it hers. Ni kosa.

Mimi stories zangu zote zina copyright so ingekuwa vyema hata kwa heshima ya JF angesema hiyo stories ameitoa huku. Angefanya hivyo tu wala kusingekuwa na shida. Sasa analazimika kuonana na GuDume na kupata wasaa yeye peke yake na Gudume kujadili jambo hili.

Binafsi simfaham ila ntamfuatilia nimfahamu hata nimjue ni mtu wa namna gani na kwanini afisadi kazi zangu. Ajue ameiba mali ya mtu.

Na nawaomba kabisa wana JF wenzangu tushikamane katika hili ikiwezekana tujiandae kufanya maandamano makubwa ya kupinga kazi zetu kuibiwa na watangazaji waliokosa ubunifu.

Najua huyo Diva atakuwemo humu ndani.

kwani hayo maandishi umeyasajili kwa cosota? una copyrights OG kutoka cosota?
 
Ref. GUDume JF 2018
 
Back
Top Bottom