Ni jambo lililonishtua hasa kwa maeneo ya Tabata.., kila nyumba ninayoingia hukosi mtu anaumwa malaria.., tena utaambiwa kuna wengine wawili watatu nyumba hio hio wamepona juzi juzi tu.., kibaya...
Kuna tatizo sehemu
Leo nilikuwa kariakoo kwenye mishe dah frame kibao zimefungwa, mtaa wa Livingstone frame chache ndio zipo wazi ila karibia zote zimefungwa na ukizingatia leo ni jumatatu siku...
Nimeikuta mahala simjui mwandishi lakini story hii ina mengi ya kujifunza.
___________________
Umeenda semina Dodoma, una ndugu yako kule. Unamtaarifu unakuja kumtembelea. Anakuambia karibu sana...
Tangu asubuhi leo mods wameziachia threads zinazolaumu udini Azam. Kila mtu ni shadidi udini ulioko kwenye teuzi, na kwenye mashirika ya umma kama vile Tanesco, PPF, PSPF, Mawizarani etc, huo...
Hali hiyo inawiana na takwimu zote za kinchi zinazoonyesha kuwa maisha ya WATU wetu yamekuwa mabaya zaidi ndani ya miaka hii miwili ya Serikali ya awamu ya 5, mifano michache ifuatayo inaonyesha...
Sauti kwenye taarifa ya habari inapanda na kushuka kati ya mtangazaji na vipande vya habari, pia hakuna uwiano wa sauti kwenye matangazo, misauti ina burst inabidi unapoangalia Tv yenu uwe na...
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanania (TPDC) linawataka Wananchi kupuuza taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba, kiwanda cha saruji cha Dangote mkoani Mtwara kimefungwa kutokana...
Mama aliyetoa kero kwa Rais Magufuli kuhusu wafanyabiashara kunyanyaswa na Manispaa ya Morogoro amezungumza na Mwananchi
Amemshukuru Rais Magufuli na kusema kiasi cha fedha alichopewa kilifikia...
Ukisoma historia ya manabii wote na mitume kabla ya Yesu na baada ya Yesu wote walihukumiwa na dola kwa kile kichoonekana kwa lugha maarufu ya sasa Uchochezi.
Hakuna sehemu yoyote ile ambapo raia...
Kuna ajali imetokea Leo maeneo ya Ipo ipo center Mazimbu,Morogoro ikihusisha Lori aina ya Scania
Ajali imetokea majira ya SAA 5 asubuhi ikihusisha scania baada ya kuvamia maduka mawili moja la...
Habari wadau
Nina huzuni na hasira sana Leo,nimelizwa na tapeli wa m pesa nimebaki naduwaa ,pesa yangu 280,000 umeenda.
Kuna jamaa kanipigia simu akijitambulisha kutoka Vodacom,akasema kuna mtu...
Uhusiano kati ya matiti yasio ya kawaida ambayo humea miongoni mwa wavulana na utumizi wa mafuta ya mti wa lavender na ule wa chai umetoa uzito tofauti baada ya utafiti kubaini kwamba kemikali...
Mnakuta mmetoka washkaji kibao au watu wa ofisi moja. Watu wanafakamia wewe alafu ikija bili kulipa watu wanajikausha.
Sasa mkituwekea kikapu cha kuchangia bill ile bill inaletwa, kuna kuwa na...
Machi 22 ya kila mwaka ni siku ya maji duniani. Hii ni siku ya kukuza uelewa kuhusu janga la maji ulimwenguni na kuchukua hatua thabiti za kuleta mabadiliko katika jamii. Kulingana na Shirika la...
Wanabodi,
Shirika la Bima la Taifa limewafukuza bila hata kuwapa notice wapangaji wake huko Masaki na Mikocheni siku ya Alhamisi wiki hii.
Tukio hili lilitokea siku ya Alhamisi mchana kuanzia...
Kikao cha Bodi ya Kahawa kilichokaa jumatatu tarehe 22 Januari kimewasimamisha kazi mkurugenzi wa Fedha na Utawala Ndg Astery Bitegeko na Mhasibu wa mauzo ya Kahawa mnadani Ndg Goodluck Moshi kwa...
Nimekuwa nasoma sana mitandao mingi nchini na namna wanablog wengi wakiwa wanapost taarifa tofauti tofauti ili watu waweze kujua kinachoendelea nchini na nje ya nchi.
Lakini cha ajabu wengi...
Mamlaka ya Udhibiti wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, imepiga marufuku watu wanaohubiri kwenye mabasi ya abiria yanayokwenda wilayani na mikoani.
Meneja wa SUMATRA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.