Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,786
- 45,268
Habari wakuu,
Ninatumaini sote ni wazima na tunaendelea na shughuli zetu za kila siku pasi na mawaa yoyote.
Nimewahi kusikia kuna 'international driving licence' zinazotolewa Tanzania.Nimejaribu kucheki kwenye website ya TRA ila sijaona hii category.Kama hizi leseni zipo(au hazipo) ninaomba mwenye uhakika aconfirm plz.
Kama zipo:
Ninaomba kujulishwa utaratibu wa kupata leseni ya kimataifa ya kuendeshea gari la kawaida.Kwa wale waliokwisha kupata leseni hizi, nnaomba mnisaidie kujua gharama zake zikoje na taratibu za kufanya mitihani zikoje(mitihani mingapi, passing marks etc).
Pia, kwa wale waliojaribu kuzitumia(leseni hizi za kawaida au za kimataifa kama zipo) nje ya nchi, je kuna nchi ambayo hawazitambui?
Ntashukuru sana ukinisaidia uzoefu wako katika hili .......