mvetenam kambodia
Senior Member
- Mar 20, 2018
- 149
- 93
Jamani nilipigwa faini ya makosa barabarni ya tsh 30000/ lakini kitu kilicho nishangaza nikapewa risiti ya karatasi iliyo andikwa kwa mikono,lakini taasisi nyingi zinatumia hizo mashine kwa mujibu wa sheria, KWANINI JESHI LETU LA USALAMA BARABARANI HALITUMII HIZO MSHINE? wadau ni