Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari Wakuu. Kama ilivyosikika na kusambaa kwenye mitandao ya kijamii juu ya tukio la kuvamiwa na kuchomwa moto kwa kituo cha polisi na baadhi ya vibanda vya biashara na nyumba za askari huko...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Mmeambiwa punguza kwenda kwa waganga wa kienyeji Asilimia 70 ya watu wanaoamini katika ushirikina ni wanawake, Ona kilichompata Tabu mwalage alisema alienda kwa mganga kupata dawa ya kuongeza...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakazi Sinza Kamanyola wanaoishi karibu na mto Ng'ombe, wanashindwa kutoka nje usiku kuwepo chatu. Inadaiwa chatu huyo aliyeletwa na mvua. Bi. Asha Kondo amesema mwanae ndo alimuona huyo chatu...
9 Reactions
212 Replies
30K Views
Nilikwenda zahati moja mjini Dar, Tena niliona niende mjini si huku kwetu Kwamtogole na ilikuwa private clinic au dispensary kama wengi walivyozoea. Nurse alinipima uzito na kuchukua PB, kabla...
11 Reactions
46 Replies
3K Views
1.je ukweli ni nini? 2.ukweli ni UPI? 3.kwanini asilimia kubwa ya watu wanaojaribu kutafuta ukweli huishia pabaya(ama huko ndo mahala sahihi pa watafuta ukweli??) 4.je dini zetu,serikali...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Serikali ya Kuwait kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Kiuchumi wa Kuwait (Kuwait for Arab Economic Development Fund), imeahidi kuipatia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu wa dola milioni 207.3, sawa...
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Ni wazi elimu Tanzania imeanguka na Sera zote zimefeli. Sababu zipo nyingi ila kikubwa ni kudharauliwa Kwa elimu na maslahi mabovu kwa walimu. etc Dedication kwenu hii hapa walimu wote wa Tanzania...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa kweli tumekua watu wa ajabu sana ,viongozi wote tumemuachia magufuli afikiri juu yetu Kuna utaratibu wa ajabu Sana kuwa siku ya jumamosi utakuta maduka asubuhi yamefungwa mpaka saa nne eti...
9 Reactions
27 Replies
3K Views
Habarini mabibi na mabwana, Kuna hii tabia hasa kwa wa jinsia ya (ke) kuwahi kukata tiketi kwenye mabasi siti ya dirishani halafu safari nzima hawataki kufungua dirisha hata joto likiongezeka...
18 Reactions
131 Replies
11K Views
Waziri wa Mambo ya ndani, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka walimu nchini kuendelea kutoa elimu bora kwa wanafunzi kwa kuwafundisha maadili mema na pale inapobidi matumizi ya fimbo yatumike wasisite...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Nyumba ya kupanga inatakiwa self contained,iwe na eneo kubwa na parking,garden na fans yenye security systeam,iwe na vyumba kuanzia viwili au vitatu kimoja au viwili viwe ni masterbedroom Kama...
0 Reactions
0 Replies
672 Views
Salamu wana Jamii,nimekaa nikafikilia sana juu ya hili kwanini vipaji vingi hapa tanzania havisaminiki? Mwaka 2008nikiwa kahama machimboni nilikutana nakijana mmoja jina( )huyukijana kwa sasa...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Hii nazungumzia kwa nchi yetu, ni kutokana na mazingira ya kazi zetu niliyopitia na kujifunza na hata matukio tunayoyaona yanaakisi hivyo. Hii ni kutokana labda na woga wa kutumbuliwa kama...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari za mihangaiko wanajamii... Kama kichwa cha habari kinavyoeleza.. jana mida ya saa nane mchana nilitoka ndani na kwenda shamba kuangalia kidogo hali ya shamba kutokana na mvua iliyonyesha...
20 Reactions
103 Replies
9K Views
Mkataba huu ni kwamba utaruhusu nchi zingine ku Import bidhaa mbalimbali sasa hoja yangu iko hivi kuna nchi kama South Africa,kenya ni nchi ambazo zinamipango wa kuzalisha umeme wa Nuclear kutoka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF! Jana machi 22 2018, polisi walikamata vijana wawili ambao inasadikika waliiba hela za Mama Mfanyibiashara wa Kata ya Mwandoya. Hivyo walipowafikisha rumande walianza kuwaadhibu...
6 Reactions
81 Replies
17K Views
Taarifa kutoka Dodoma kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Benjamini Mkapa ni kwamba wamefanikiwa kufanya upasuaji wa kwanza wa kupandikiza figo kwa mgonjwa Elias Yaredi wakishirikiana na madaktari...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Mtawa wa Shirika la Mama Yetu wa Usambara (C.O.L.U), Sista Salesiana Paul Shayo Amegogwa na kufariki dunia papo hapo akiwa anavuka barabara maeneo ya Baraza la Maaskofu (TEC), Kurasini jijini Dar...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom