Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Turudishe nyumba zote za msajili (NHC) tulizodhulumu (tulizotaifisha) kutoka kwa wageni na watu wetu . Turudishe mabenki, mashamba, viwanda, shule na taasisi zote tulizo dhulumu (taifisha) kutoka...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
habar wanajamvi. Rastafarian movement ni harakati ya maisha kama zilivyo harakati zingine. Hii harakati imechipuka miaka ya 1930's.ni harakati ambayo imelenga kumuinua mtu mweusi. Watu wa tamadun...
1 Reactions
36 Replies
8K Views
Kitendo cha korosho za Tanzania kukutwa na mawe nchini Vietnam kimetia doa kazi nzuri iliyofanywa na Mheshiwa Rais Dr.Magufuli ya kutafuta soko la uhakika la korosho kwa kuzungumza na Vietnam na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sina uhakika kama huu uzi uliwai kuwepo au laaah.Kama mtanzania mpenda kujua nini kinaendelea katika nchi yangu ikiwemo kisiasa, kiutamaduni, kiuchumi na kijamii pia, leo nikiwa Arusha nikakuta...
2 Reactions
37 Replies
6K Views
KARIBU MKURUGENZI MKUU TUME YA NGUVU ZA ATOMIKI TANZANIA Tuombe kuwashukuru wasomaji wa nyaraka zetu za “Nani Atakayeiokoa Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania” na pia kwa maoni yenu yenye kujenga...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Hawa jamaa ni watu wa ajabu sana halafu si mmoja ni wote, wanajua vitu vingi sana, taarifa mbalimbali za kila nyanja wanazo. Ni watu wapelelezi na wadadisi ndio maana wana fahamu mambo mengi sana...
8 Reactions
44 Replies
5K Views
Nipo ofisi ya serikali ya mtaa wa miganga toka saa 12 asubuhi mtendaji hajafika tunataka kujaza fomu za vitambulisho vya uraia
0 Reactions
3 Replies
972 Views
Salaam, Hawa jamaa mapema mwaka huu walitoa waraka wa kukiri kuwa wamefungiwa ila watarudisha pesa za waliowadahili, mpaka sasa sioni kinachoendelea. Nasubiri pesa yangu nikafurahie pasaka.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nawaza kwa maandishi.
0 Reactions
4 Replies
866 Views
Ugonjwa wa dengue umerejea nchini baada ya wagonjwa 11 kugundulika jijini Dar es Salaam. Taarifa kutoka Wizara ya Afya, Jinsia, Maendeleo ya Jamii, Wazee na Watoto zinaeleza kuwa homa ya ugonjwa...
1 Reactions
39 Replies
11K Views
UONGOZI NA MAAMUZI KANISA KATOLIKI NA NAFASI YA KADINALI KATIKA NCHI AMA KANDA. Katika Kanisa Katoliki:- 1. Maaskofu wote wana hadhi sawa 2. Maamuzi yote kuhusu kanisa hayafanywi na mtu bali...
18 Reactions
45 Replies
11K Views
Ni wakati sasa wa wanaohusika kubadili majina wabadili ghuba ya Emin Pasha iliyopo katika Ziwa Victoria karibu na kisiwa cha Rubondo kuwa ghuba ya John Pombe Magufuli(JPM Gulf). Sababu ni nyingi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wana JF, Jana nimeenda dukani kununua bidhaa mbali mali za nyumbani, sasa basi nilichokutana nacho ni kuwa bidha karibu zote zimepanda bei kama ifiatavyo; Sukari kilo kutoka 2400 hadi...
4 Reactions
65 Replies
6K Views
Muda huu tetemeko la ardhi limepita huku Mwanza nakagua gheto langu kama limesalimika ======================= Tetemeko la Ardhi lenye ukubwa wa 4.6 limetokea maeneo ya kanda ya ziwa usiku wa...
7 Reactions
100 Replies
14K Views
Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika hivi: "Nimeulizwa sana kuhusu haya matamko, nasisitiza, kwa sasa hatuoni cha kujibu zaidi ya kuwatakia waumini...
8 Reactions
101 Replies
12K Views
Tujikumbushe enzi za ujima. Kama ulishawahi tembelea gari iliyopasuka tairi na badala ya kuweka tiari mpya ile iliyopasuka inashonwa na kuwekwa peche kwa ndani then kale ka tyube ndio kanafuata...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
SERIKALI imesema kuwa gharama za kumtibu mgonjwa mmoja wa Kifua kikuu (TB) sugu ni Sh. milioni 35 ambapo matibabu yake ni kati ya miezi tisa hadi 12. Kiasi hicho cha fedha kinatosha kununua...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba ufafanuzi kwenye hizi hospital km Seliani-Arusha, Ndanda-Mtwara, Nyangao-Lindi, Bugando-Mwanza na KCMC-Kilimanjaro. Zinamilikiwa na taasisi binafsi lakini serikali inatoa ruzuku na...
0 Reactions
70 Replies
6K Views
Hapo mwanzo mkosoaji mkubwa wa serikali kwa makundi toka taasisi za dini walikuwa kina shehe Ponda, kisha akaja mzee wa kuliamsha dude, Gwajima, kisha akaja askofu Kakobe, kisha sasa wamekuja...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Ama kweli awamu hii ni vituko na mizuka, watumishi wanaodai malimbikizo ni wengi kuliko waliolipwa mwezi jana. Je, hili zoezi lilikuwa kutafuta sifa kwa viongozi kama wanajali watumishi au kurusha...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom