Hivi ni kwanini serikali haitambui vipaji na kuviendeleza?

yard

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2018
Posts
370
Reaction score
462
Salamu wana Jamii,nimekaa nikafikilia sana juu ya hili kwanini vipaji vingi hapa tanzania havisaminiki?

Mwaka 2008nikiwa kahama machimboni nilikutana nakijana mmoja jina( )huyukijana kwa sasa sijui yupo wapi.katika story zahapanapale tukiwa tume pumnzika tunapiga story za kivita silaha au makombola ya masafa marefu ndipo pakatokea ubishi.

Yule kijana ( )akadai akiwezeshwa anauwezo wakutengeneza kombola la masafa marefu lakini sisi tuka mbishia sana tuka mwambia umeshiba ugali wakambini wewe bola usinzie.

Yule kijana ( )akasema naweza kuwafanyia test ndogo ila nahitaji mnipe elfu kumi nikishindwa basi mnidai ndipo jamaa yetu mmoja akasema "mimi nipo tayali ila ukishindwa nachukua hii simu yako"yule kijana akacheka sana akasema poa ngoja kupambazuke.

Kama ilivyo kawaida mibinafsi nilitamani nione hilizoezi kama lita fanikiwa kweli.Nikawa wakwanza kukumbushia hiyo ishu yule jamaa akampatia yule kijana ile hela.
Sikuhiyo yule kijana ( ) hatuku muona kutwa nzima maeneo ya kazi tukazani au jamaa kasepa nini ilikuwa gia ya kuondoka maana dolo lililokuwapo mda huo nishida.

Mala jioni mida ya samoja na nusu hivi yule kijana ( ) akaibuka akiwa anadai yupo tayali kwa kutuonyesha maujuzi mdahuo alikuwa ameshikilia pump ya upepo tunayo tumia kujaza baiskeli au tairi za magari na nk.
Lakini ile pump ilionekana kaifanyia maujanja flani yakiwa yamechomewa na gesi kiufupi sikumuelewa alichokifanya pale.

Tuka kusanyikana mtu kaa kumi nau shee yule kijana akasema tuelekee kwa mfua vyuma (mhunzi) ili atumie ile mashine ya kufua upepo baada yakufika pale yule mfua vyuma akadai tafteni mkaa wenu maana hapo yule kijana ( )alihitaji moto mkali kwajili ya kurusha kombola lake kulingana na watu tulivyokuwa na mzuka ika changwa hela fasta tuka mpa yule mzee wa mashine ya upepo akatupatia mkaa debe moja.

Zoezi likaanza yule kijana akaiseti ile pump ndani ya ile mikaa mimi kihelehele nikawahi kuanza kuzungusha taili yaile mashine ili ifue upepo wakukoleza moto nilizungusha moto ukakolea nihatali ile bomba ya pump ikabadilika ikawa Kama kaa la moto ndipo yule Kijana ( )akatuamru tukae nyuma ya ile bomba kamahatua ishili kweli tuka fanya hivyo mda huo namimi zoezi lakuzungusha kurudumu nilistisha wote pamoja na yeye tukarudi nyuma.

Baada ya dakika kama tano hivi tulijionea maajabu lile bomba lilifyatuka kwa kasi ya ajabu naile mikaa ya moto ilisambalatika hakika tulikimbia kila mmoja hakuna alie angalia ile bomba ilielekea wapi.

Yule kijana akawa lafiki yangu sana akanipa story nyingi za uwezo wake pamoja na maisha yake.
Elimu ali ishia darasa la nne pia aliniambia anauwezo wakutega bomu la masaa,kukata frequens za radio flani isisikike eneo alilopo umbali flani pia alikuwa fit sana upande wa umeme.

Ushauri kwa serikali kwanini hamtambui vipaji badala yake mnatumia mihela ovyo maana naimani kuna watu wengi wenyevipaji nawakiwezesho ata ajila zitangezeka.
Naishia hapo serikali mjitafakali kuhusu hili.
 
Mtoto huyu ni Tundu lissu Ajaye, serikali iinue kipaji chake

Mkuu hawa watu huwa na washangaa sana vipaji ni vitu muhimu Sana ila hawana time kabisa sijui wana tegemea watavumbua kitu gani kipya kiishangaze dunia.
 
Siasa sio kipaji ndio maana hata hawaangaiki
 
Mkuu hawa watu huwa na washangaa sana vipaji ni vitu muhimu Sana ila hawana time kabisa sijui wana tegemea watavumbua kitu gani kipya kiishangaze dunia.
Serikali inaongozwa na watu

Na hao watu wamejawa na roho mbaya, wivu na chuki

Ndio maana wanasema tunawaabudu wazungu lkn acha tu waseme

Wazungu wametuacha kwenye mataa kwa kila jambo
 
Ukweli mtupu
 
Kweli yan kwan yule dogo aliyetengeneza kifaa cha kutambua mwendokas kwenye gari ukiwa umetulia ndan aliishia wapi?? Afu kuhusu hizo silaha watu wengi sana wapo njema kutengeneza swma sku izi sheria tu mkuu lakin kuna watu ukiwapa ruhusa unaweza shangaa sana
 
Salamu wana Jamii,nimekaa nikafikilia sana juu ya hili kwanini vipaji vingi hapa tanzania havisaminiki?

Mwaka 2008nikiwa kahama machimboni nilikutana nakijana mmoja jina( )huyukijana kwa sasa sijui yupo wapi.katika story zahapanapale tukiwa tume pumnzika tunapiga story za kivita silaha au makombola ya masafa marefu ndipo pakatokea ubishi.

Yule kijana ( )akadai akiwezeshwa anauwezo wakutengeneza kombola la masafa marefu lakini sisi tuka mbishia sana tuka mwambia umeshiba ugali wakambini wewe bola usinzie.

Yule kijana ( )akasema naweza kuwafanyia test ndogo ila nahitaji mnipe elfu kumi nikishindwa basi mnidai ndipo jamaa yetu mmoja akasema "mimi nipo tayali ila ukishindwa nachukua hii simu yako"yule kijana akacheka sana akasema poa ngoja kupambazuke.

Kama ilivyo kawaida mibinafsi nilitamani nione hilizoezi kama lita fanikiwa kweli.Nikawa wakwanza kukumbushia hiyo ishu yule jamaa akampatia yule kijana ile hela.
Sikuhiyo yule kijana ( ) hatuku muona kutwa nzima maeneo ya kazi tukazani au jamaa kasepa nini ilikuwa gia ya kuondoka maana dolo lililokuwapo mda huo nishida.

Mala jioni mida ya samoja na nusu hivi yule kijana ( ) akaibuka akiwa anadai yupo tayali kwa kutuonyesha maujuzi mdahuo alikuwa ameshikilia pump ya upepo tunayo tumia kujaza baiskeli au tairi za magari na nk.
Lakini ile pump ilionekana kaifanyia maujanja flani yakiwa yamechomewa na gesi kiufupi sikumuelewa alichokifanya pale.

Tuka kusanyikana mtu kaa kumi nau shee yule kijana akasema tuelekee kwa mfua vyuma (mhunzi) ili atumie ile mashine ya kufua upepo baada yakufika pale yule mfua vyuma akadai tafteni mkaa wenu maana hapo yule kijana ( )alihitaji moto mkali kwajili ya kurusha kombola lake kulingana na watu tulivyokuwa na mzuka ika changwa hela fasta tuka mpa yule mzee wa mashine ya upepo akatupatia mkaa debe moja.

Zoezi likaanza yule kijana akaiseti ile pump ndani ya ile mikaa mimi kihelehele nikawahi kuanza kuzungusha taili yaile mashine ili ifue upepo wakukoleza moto nilizungusha moto ukakolea nihatali ile bomba ya pump ikabadilika ikawa Kama kaa la moto ndipo yule Kijana ( )akatuamru tukae nyuma ya ile bomba kamahatua ishili kweli tuka fanya hivyo mda huo namimi zoezi lakuzungusha kurudumu nilistisha wote pamoja na yeye tukarudi nyuma.

Baada ya dakika kama tano hivi tulijionea maajabu lile bomba lilifyatuka kwa kasi ya ajabu naile mikaa ya moto ilisambalatika hakika tulikimbia kila mmoja hakuna alie angalia ile bomba ilielekea wapi.

Yule kijana akawa lafiki yangu sana akanipa story nyingi za uwezo wake pamoja na maisha yake.
Elimu ali ishia darasa la nne pia aliniambia anauwezo wakutega bomu la masaa,kukata frequens za radio flani isisikike eneo alilopo umbali flani pia alikuwa fit sana upande wa umeme.

Ushauri kwa serikali kwanini hamtambui vipaji badala yake mnatumia mihela ovyo maana naimani kuna watu wengi wenyevipaji nawakiwezesho ata ajila zitangezeka.
Naishia hapo serikali mjitafakali kuhusu hili.
Duh! Iinaonekana una matatizo makubwa na herufi 'R' maana unatumia 'L' tu hata panapohitajika 'r'...

Nikirudi kwenye mada: kuna ukweli kwenye hoja zako, maana wengi waliojitahidi kuvumbua au kutengeneza vitu hawaeleweki walipo, na wengine walitishwa...
 
Nikweli mkuu 'r' na 'l' ni janga kwangu. [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
[emoji23] [emoji23] ww utakua wa kwetu make mim brad nilikua nasoma blad na barabara nasema balabala
 
Kweli yan kwan yule dogo aliyetengeneza kifaa cha kutambua mwendokas kwenye gari ukiwa umetulia ndan aliishia wapi?? Afu kuhusu hizo silaha watu wengi sana wapo njema kutengeneza swma sku izi sheria tu mkuu lakin kuna watu ukiwapa ruhusa unaweza shangaa sana
Hapo ndipo serikali ina onesha uzembe wa juu nahii nidalili tosha kuonyesha ata kuleta maendeleo ni shida wasinge kuwa bize kujaza matumbo yao basi hawa watu wange waona na tunge kuwa mbali sana.
 
Back
Top Bottom