kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,686
Mtawa wa Shirika la Mama Yetu wa Usambara (C.O.L.U), Sista Salesiana Paul Shayo Amegogwa na kufariki dunia papo hapo akiwa anavuka barabara maeneo ya Baraza la Maaskofu (TEC), Kurasini jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya mashuhuda walisema pamoja na gari hilo kukimbia baada ya kusababisha ajali, waliokuwepo eneo hilo walifanikiwa kuokota kioo cha gari hiyo kilichokuwa na namba iliyonyesha namba ya gari hilo kuwa ni la Serikali.
Chanzo:MWANANCHI