Dar: Chatu atikisa mitaa ya Sinza Kamanyola, wananchi wahofia maisha yao

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Kamanyola.jpg

Wakazi Sinza Kamanyola wanaoishi karibu na mto Ng'ombe, wanashindwa kutoka nje usiku kuwepo chatu. Inadaiwa chatu huyo aliyeletwa na mvua.

Bi. Asha Kondo amesema mwanae ndo alimuona huyo chatu.

Hivyo watu wanakaa kwa hofu sana na wametakiwa kuwa makini.

Watu wa maliasili wamefika sehemu ya tukio kumtafuta chatu huyo. Hii kazi ilitakiwa ianze Jumatatu. Watu wa Sinza wameshauriwa kutoa taarifa mapema watakapomuona chatu huyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom