Kilichompata akiwa kwa mganga

Kilichompata akiwa kwa mganga

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,166
Reaction score
47,887
Mmeambiwa punguza kwenda kwa waganga wa kienyeji

Asilimia 70 ya watu wanaoamini katika ushirikina ni wanawake,

Ona kilichompata

Tabu mwalage alisema alienda kwa mganga kupata dawa ya kuongeza mafanikio katika biashara,

Wakachemsha maji ambayo ndani kuna mawe yalipopata moto, akaambiwa aweke kwenye kifua usoni ,mikononi, ule mvuke umemdhuru vibaya mno ,

Mganga wa kienyeji alikimbia na kupotea

 
Mpaka anaungua hivyo kwani alikuwa amefungwa kamba?
Haiwezi kueleweka kwamba eti aliwekewa mawe, labda alikuwaamezimia kabla ya kuwekewa la sivyo ni ngumu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Amelaaniwa MTU yule amtegemeae mwanadamu amfanyae kuwa kinga yake na moyoni mwake amemwacha Mungu...... Kwanini amtegemee mganga na kumuamini kwenye kitu kama iko
 
Back
Top Bottom