Historia ya ukristo wenyewe
Ukristo nchini Tanzania ulianzishwa na wamisionari wa Shirika la Mt. Agostino kutoka Ureno walioongozana na Vasco da Gama mwaka 1499 hadi Zanzibar.
Huko walijenga...
Kongamano la biashara lililoandaliwa na Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA) limefanyika jijini Dar es salaam na kuzungumzia mambo kadha wa kadha hususani fursa katika bomba la mafuta la...
Habari za leo wanajamvi,
Pamekuwepo na tabia ya wazazi kuwapa majina watoto kadri ya vile wanavyoona wao ni sahihi, kuna baadhi ya wazazi huwapa watoto majina kutokana na matukio au umaarufu wa...
Toka lini chura akamzuia ng'ombe kunywa maji?!
Ng'ombe huzipuuza kelele za chura kila awapo na kiu ya maji. Vikelele na wafanya vikelele hivyo km wanavyojidanganya kwamba watasikilizwa;wamenoa...
Dar es Salaam. Unafanya kazi gani? Huenda kazi yako ndiyo chanzo cha msongo wa mawazo ambao unaweza kukusababishia maradhi mbalimbali yasiyoambukiza ikiwamo shinikizo la damu, kisukari na mgongo...
1. Hewa (oxygen )
2. Maji
3. Chakula
Vitu vingine ni mbwembwe tu japo kujamiiana ni jambo zuri endapo litatumiwa kwa lengo la kuzaliana na sio starehe
Amini naambiwa, endapo mwanadamu atakosa...
Hii ni Afrika
Kama wewe ni mfanyabiashara au kiongozi wa dini kuwa makini na ukosoaji wa wazawazi kwa serikali. Nchi zetu za kiafrika ni changa sana kisiasa uwa wanatabia ya kushughulika na...
Kuna malalamiko mengi, kuwa watanzania hatupendi kusoma. NI KWELI.
Ukitaka kumficha maarifa mtu mweusi maarifa yaweke kwenye kitabu. NI KWELI PIA.
Waafrika tumekuwa kwa kupigiwa stori, hadithi na...
Watafiti huko nchi zilizoendelea wamesema kwamba Watu ambao hupenda kupiga Picha za Kisasa za ' Selfie ' mara tatu na kuendelea kwa Siku huwa na Ugonjwa wa akili ambao Kitaalam unaitwa ' Selfitis...
MUNGU HASEMI IVI, JE NANI ASEMA “KIJANA NI TAIFA LA KESHO”?
Habari zenu wapendwa, poleni na majukumu ya hapa na pale, naamini Mungu yu mwema kila leo. Naomba mnisaidie kuelewa kwa upana nadharia...
JE, KUNA TOFAUTI GANI KATI YA KADINALI NA ASKOFU?
'Canon Laws' ambazo ibara zake hutajwa hivi, Can. 381 na kadhalika zinatosha kumwelewesha yeyote muundo wa Kanisa Katoliki. Zinataja mamlaka ya...
Mwaka huu na ujao sio mzuri wa kukopeshana pesa ,maana mtazinguana mpaka baasi kwenye kurejesheana.
Kuna mtu nimemkopesha pesa imefikia hatua namtumia ujumbe whàtsapp anausoma afu hàjibu kitu...
Hapa Tanzania kama Kuna kiongozi anaitaji kupendwa ..Ahakikishe Anashusha bei ya chakula...na siyo kitu kingine ...Aya Maswala yakujenga Fly over bila kupunguza bei ya chakula ...Ni Kazi Bure...
For the first time in the history of Tanzania 's health system A kidney transplant surgery have been performed at Benjamin Mkapa Ultramodern Hospital (BMH) in University of Dodoma UDOM/ college...
Awahusisha maaskofu sakata lake la uzinifu Adai chanzo ni yeye kuwakataa kumrithi
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), ameshindwa...
Katika maisha ya kawaida nimegundua mambo kadhaa.
1. Ukitaka fedha, unaonana na mwenye fedha. Nchi masikini huenda kukopa nchi matajiri. Wakurugenzi wa benki mashirika ya kifedha duniani hutoka...
Ni miaka mingi imepita toka nifanye safari yangu ya mwisho kuja Dar es Salaam, nimeingia wiki iliyopita mambo mengi nimekuta yamebadilika ila lililonishangaza zaidi ni hali ya sasa ya viwanja vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.