Ni wazi elimu Tanzania imeanguka na Sera zote zimefeli.
Sababu zipo nyingi ila kikubwa no kudharauliwa Kwa elimu na maslahi mabovu Kwa walimu,
etc
Dedication kwenu hii hapa walimu wote wa Tanzania na wa Ileje
Kweli awasubiri tu wanakuja.Ngoja waje
Watakuwa wamelalaKweli awasubiri tu wanakuja.
Mimi ni mwl wa Ileje huko aliyepelekwa msingi na sijalipwaKaka niaje, na wewe ni mwalimu ???
Mimi ni mwl wa Ileje huko aliyepelekwa msingi na sijalipwaKaka niaje, na wewe ni mwalimu ???
Mimi siyo mwalimu[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ni mwl wa Ileje huko aliyepelekwa msingi na sijalipwa
Poleni walimu.
Mpaka huyu mtoto anajua hali zenu.
Mimi ni mwl wa Ileje huko aliyepelekwa msingi na sijalipwa
Poleni walimu.
Mpaka huyu mtoto anajua hali zenu.
Tatizo bado hatuna dira ya taifa, tumewaachia wanasiasa waendeshe nchi wanavyotaka na mambo yao wanavyotaka, kila mtu akiingia Atakuja Na sera zake, walimu nao hawajui mwajiri wao ni Nani kuanzia viongoz wa serikali had wa chama, kuna kutekeleza sera hapo kama siyo kuchanganyana tu
Upo vizuriNgoja waje