Ngazi za mshahara road fund

Ngazi za mshahara road fund

Planner

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
348
Reaction score
149
Habari wakuu
Kuna bwana mdogo wangu ameitwa kwenye usaili wa nafasi ya "Senior monitoring and evaluation officer" kwenye mfuko wa barabara au road fund,angependa mwenye uzoefu wa mishahara ya hawa watu kwa nafasi hiyo amsaidie kujua basic/take home

Natanguliza shukrani.
 
Huyo Bwana Mdogo ni wewe. Kiufupi wewe hutaki kazi, na na kushauri ungepotezea tu hata kwenda kwenye inteview maana unawaza hela sana.
 
Anaulizia mshahara hata maswali ya interview hataki kuyajua!!!! Kwa maringo hayo kazi ataisikia tu!!!
Hilo la salary expectation ni swali ataulizwa ndio maana anafanya utafiti ili asijibu kibwege bwege bila kua na basis ya jubu lake Mkuu.
 
Shule haijamkomboa huyo ndugu yako kama sio wewe

Swali la salary halihusiani na viwango vya kampuni husika hata kidogo. Nikusaidie kidogo kwenye Swali la salary

Anatakiwa apige hesabu zote za kwake yaaani cost ya nauli toka kwake hadi ofisini mwezi mzima, gharama ya chakula kutwa nzima kwa mwezi mzima, gharama ya chumba/nyumba kwa mwezi, gharama ya umeme na maji kwa mwezi, gharama zingine kama vocha, dharura etc then cost atakayoipata ndio jibu analopaswa kujibu kwenye interview. Otherwise hana shida na kazi au elimu haijamkomboa kabisa

Over
 
Aiseee kwa iyo una maanisha alienda shule kuchemsha viti tu
 
Swali la "what is your salary expectation" kwa Go's ni mbwembwe tu labda kama ni NGO's coz in serikalini kuna salary scales ambazo zina vigezo vyake.
Mwambie/jiambie in another way kuwa kuna mambo mengi ya kujua kama
1' What's your weakness/strenths ambayo should be answered in a possitive ways
2, Do you have any question to us?
Etc
By the way All the best.
 
Huyo Bwana Mdogo ni wewe. Kiufupi wewe hutaki kazi, na na kushauri ungepotezea tu hata kwenda kwenye inteview maana unawaza hela sana.

Isingekuwa hela kusingekuwa na ulazima wa kufanya kazi
 
ahahahahahaha nimecheka sana ila daah jamii forum bwana, ila huyu jamaa hajui hata ataulizwa nini anataka kujua mshahara
 
Hilo la salary expectation ni swali ataulizwa ndio maana anafanya utafiti ili asijibu kibwege bwege bila kua na basis ya jubu lake Mkuu.
mwambie serikalini huwa hatuulizwi salary expectations! utakuwa unamdanganya!
 
Isingekuwa hela kusingekuwa na ulazima wa kufanya kazi
Kweli... wengi wetu hatujui uhusiano wa motivation na majukumu unayopewa..wenzetu wa Mataifa mengine hawakubali kufanya kazi ambayo haimpi hamasa na hayuko well motivated, kwa maana ingine uhaba wa ajira unapelekea mtu anakubali tu kazi alafu baadae ndio anaanza kulalamika which is not right.

Perfomance based post inanendana na malipo pia...ila kwa walio wengi wa utumishi wa serikalini hii dhana hawaielewi au hawaiwezi .
 
mm swali kama hilo huwa nalijibugi kisiasa tu.
wakiniulizaga huwa nawaambia wanilipe kutokana na payment scale yao ya mtu mwenyewe qualification kama zangu
yaani wanilipe kama walivyopanga kulipa watu wenye sifa kama zangu
 
Kama unajua salary scale ya post hiyo ndio swali lake!
Hivi umesoma kile nilicho-quote na kumjibu? Hapo alikuwa anatuambia kwamba moja ya swali atakaloulizwa ni "salary expectations" sasa nami ndiyo nikamjibu hivyo!!
 
mm swali kama hilo huwa nalijibugi kisiasa tu.
wakiniulizaga huwa nawaambia wanilipe kutokana na payment scale yao ya mtu mwenyewe qualification kama zangu
yaani wanilipe kama walivyopanga kulipa watu wenye sifa kama zangu
Hilo mkuu hata mimi juzi limenitoa jasho!! Wakanishinikiza weeeee,, kuja kutaja kiasi wakaitikia haraka haraka hapo sawa uko ndani ya malengo yetu!! Hili swali linastahili kupigwa marufuku!!
 
Hivi umesoma kile nilicho-quote na kumjibu? Hapo alikuwa anatuambia kwamba moja ya swali atakaloulizwa ni "salary expectations" sasa nami ndiyo nikamjibu hivyo!!
Salary scale ndio msingi wa swali nililouliza....hayo mengine ni maelezo tu.
 
Hilo mkuu hata mimi juzi limenitoa jasho!! Wakanishinikiza weeeee,, kuja kutaja kiasi wakaitikia haraka haraka hapo sawa uko ndani ya malengo yetu!! Hili swali linastahili kupigwa marufuku!!
huo ni mtego hatari sana yaani unaweza taja laki 6 kumbe ulistahili 1m
 
Back
Top Bottom