Unapokuwa mlinzi wa kiongozi hatakiwi kutekwa na jambo lingine lolote ambalo litakuweka bize kiakili na kuwacha wajibu wako hata kwa sekunde moja haitakiwi.Hapo kwenye picha walinzi wametekwa na...
Nabii ni mtu aliyeteuliwa na mungu na hufanya kazi zake kwa muongozo wa mungu siyo katiba. Hivyo kila asemalo na atendalo ni maagizo maalumu kutoka kwa muumba. Kwa hiyo hapaswi kupingwa au...
Habari zenu wakuu wa JF. Ni matumaini yangu kuwa mko poa kabisa. Bila kupoteza muda ngoja niingie kwenye hoja moja kwa moja.
Ni kwamba tarehe 10/07/ 2018 katika maeneo ya kimara korogwe...
Mchimbaji na mfanyabiashara wa madini, Juvenary Jeremiah Mnene amekamatwa na madini aina ya Rodlight akiwa kayahifadhi nyumbani kwake kinyume na taratibu za madini huku akikutwa pia na mashine ya...
Askari wa Jeshi la polisi kikosi cha kutuliza ghasia (FFU), Michael Hosea mkoani Tabora amejiua kwa kujipiga risasi mara nne baada ya kuchukua bunduki katika ghala la silaha kuelekea lindo la...
Nimejilimia kampunga kangu na nina viloba kama 8 hivi nimevipiga kwenye kitani 2 changu narudisha nyumbani ,sasa shida kuna jamaa hapa getini wanahitaji ushuru kwa gharama ya 4,000 kila roba,sasa...
Watuwengi huamini kwamba siku yahukumu ipo karibu sikuambayo Mungu atamlipa kilamtu kulingana na matendo yake, hata mimi ninaamini katika hilo, ila sio kweli kama wahubili wamevyokua wakituhubili...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika Serikali ya Awamu ya Tano, Mh. Ummy Ally Mwalimu akiwa wilayani Itilima Bariadi Simiyu katika uzinduzi wa kampeni ya wahudumu wa...
Salamu wakuu Nina ndoto ya kujiunga na jeshi kama kuna MTU ana experience na harakati zote na changamoto kiujumla za kujiunge anipe walau fununu wakuu .
“Katika kipindi cha miezi mitatu, hakuna magogo kutoka hapa…kihalali…kiharamu…hakuna kutoka,” ni kauli ya Dkt Kigwangwala wakati akitoa agizo la kusitisha utoaji wa vibali vya uvunaji wa misitu...
Dw.
Nchini Uganda, jeshi la polisi limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya mamia ya waandamanaji ambao wanapinga tozo jipya la kodi kwa matumizi ya mitandao ya kijamii. Kodi hiyo inamlazimisha...
Nimepita hapa mtaa wa Garden na Chimara lilipo jengo hili la wizara ya mambo ya nje hapa jijini Dar es Salaam. Kwakeli kwa mtizamo wangu ni jengo hasaa! Si mchezo! Lakini maraa .. nikakumbuka...
Ulitegemea kipenga na kadi alivyopoteza refa vitoke wapi?
Mpambano unaendelea. Katikati ya mchezo,refa
anagundua kuwa amepoteza kadi-ya njano na
nyekundu pamoja na filimbi. Kutokana na kasi ya...
Nipo Iringa Mjini katikati kabisa mwa mji lakini hii kasi yenu ya Internet haiwahamasishi wengine "kurudi nyumbani" mnatia aibu.
Kudowload video hata ya Mb 2 nitatizo , Mb zaidi ya 10 ndio huwezi...
Ambulance ya hospitali ya Wilaya ya Tarime ambayo imekamatwa na Inspekta Nathaniel pamoja na timu yake usiku huu huko Bunda ikiwa imebeba Magunia ya Mirungi kama inavyoonekana wengine ni...
Kama ilivyo kawaida ya watu wengi walioshindwa maisha kuamini kwamba kwa njia ya kuwachafua wenzao ndio kufanikiwa kwao,tangu ujio wa ndege mpya iliyonunuliwa na serikali aina ya Boeing 787-8...
Waumini Tumekuwa msaada mkubwa katika ukuaji wa miradi mbalimbali iliyopo chini ya kanisa na Misikiti, Lakini tangu hizi dini zisambae hapa nchini kwetu, mbali na mambo ya kiroho, Uendeshaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.