Nakubali kwamba pamoja na changamoto za kawaida kitaasisi kuna changamoto ambazo tunazisababisha cc RAIA
Utulivu wa nchi yetu ni kielelezo cha uchapaji kazi wenu
Mwenyezi mungu vibariki vyombo...
Mahakama ya Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, imemhukumu kifungo cha maisha jela Mathias Mbaya, mkazi wa Maleza Mkwajuni wilayani Songwe baada ya kupatikana na hatia ya kuwalawiti watoto wawili...
Soma issue ya huyu mwanadada(porridge point)jisni alivyopata misukosuko isiyo na sababu maskini ya Mungu,kila siku majitu yaliyovimba tumbo kwa kodi zetu yanapiga blah blah tujiajiri, akitokea...
Pamoja na manyanyaso aliyomfanyia mkuu wa magereza ktk mkutano wake na waandishi wa habari kwa kumfukuza mkutanoni Jana alipontembelea mkuu kamuandalia maandalizi mazito
Anaitwa Kolinda grabar-kitarović, jarida la MNTV linaripoti kuwa 'she is the most sexy and attractive president of our era'
Ni Rais wa kwanza mwanamke wa Croatia alichaguliwa mwaka 2015.Uchaguzi...
Leo tena nimeona kwenye mitandao ya kijamii Mhe. ambaye anajituntumua kuwa anaongea kiingereza sana kaandika eti:
" We did! We only making communications kwanza "
Hata kama alikuwa anamjibu mtu...
Ni ukweli usiofichika kbsa TANESCO kilimanjaro hasa manispaa ya Moshi mnakatisha tamaa wadau wa mazingira. Kwa kipindi kufupi mmeharibu kabisa mazingira na mandhari ya mji wa Moshi. Mmekuwa...
Nilifika ubalozini hapo kwa ajili ya kupata huduma kama mtanzania,kwa kweli nilishangazwa jinsi huduma zilivyobadilika unafika unakaribishwa vizuri na wafanyakazi wa pale unaulizwa kama...
Katika kufanya utafiti wangu mdogo katika maswala ya udumavu wa akili hasa waafrika nmegundua hiki chakula kinadumaza kweli akili zetu hasa nchi za afrika ambapo ndo hukila kama chakula mama...
Tuwe serious kidogo katika hili, i mean kwani ni kitu gani kikiondolewa mwilini mwako unakufa? Watu wamekuwa wakibadilishiwa viungo kama moyo, ini, mapafu, figo nk. bila.uhai wao kuondoka, ila...
Mkutano wa Bunge la 11 kulitokea sakata zito la Korosho kwa mikoa ya kusini na Wabunge wa mikoa inayolima korosho hasa wabunge wa mikoa ya Mtwara na Lindi walikuwa wakali sana Bungeni kiasi cha...
Sisi wote ni binadamu inapotokea mwenzako akatumbuliwa kutoka ofisi fulani usifurahie na kufanya mbwembwe jua nawe kesho ni zamu yako,jiulize wametoka wangapi hapo?KIPANYA KAZINI
Katika maisha kuna mambo yenye utata ambayo hutokea, baadhi ya mambo hayo ni kupotea kwa watu katika mazingira ya kutatanisha. Upotevu wa namna hii hauhusiani na utekwaji wa watu au kupotea kwa...
Mwaka wa NNE huu upo Dar es salaam (Mjini). Huna ajira nyingine zaidi ya kuhudhuria semina za akina Erick shigongo (Motivation Speakers)
'How to be a rich' (Zimekupumbaza). Huna hata TOYO ya...
Wanaume wa mikoani hii nini sasa mnatutia haibu bora sisi wa dah....! Picha inajieleza
Wanaume katika kata ya Mabuki wilayani Misungwi mkoani Mwanza wameiomba Serikali kuingilia na kusikiliza...
Habarini za mida hii wakuu..!!
Natanguliza pole kwa mihangaiko ya siku nzima ili mradi tu mkono uende kinywani..!!
Ilikuwa mwaka 1999 nikiwa shule ya msingi likizo ilinibidi nikamtembelee bibi...
Moshi. Vigogo watano wa chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa kahawa Mkoa wa Kilimanjaro (KNCU) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, wakisubiri kusomewa mashitaka.
Miongoni mwa...
Kisiasa jiji la Dar es salaam ni kitovu cha nchi!
Na kwa miradi kadhaa hasa ya uboreshwaji wa jiji mji huo utakuwa wa kupigiwa mfano.
Uboreshwaji kwa mfano wa kingo za mto Msimbazi na barabara...
Habari zenu waungwana,
Kuna jambo huwa ninaliona katika maisha ya kila siku na linanishagaza sana kiasi kwamba nakuwa nashindwa kuelewa utaratibu wake upoje.Huwa naona wakuu wa vyombo vya ulinzi...
Habari!
Napenda kutoa mawazo binafsi kuhusu tatizo la ajira nchini njia bora na nzuri kwa kutengeneza ajira nyingi zenye manufaa.
1. Sekta zisizo rasmi
Hapa serikali naishauri irasmishe shughuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.