toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,607
- 4,771
Ving'amuzi vingine vilitokea koromije wallah
Hivi watumiaji wa continental mnaishije huku duniani???
Mtu analipia kifurushi cha mwezi channel zinafunguliwa baada ya week 3 doooh
No signal kila siku unaweza kaa hata mwezi usione channel
Kila siku channel zinapotea na kurudi
Kifurushi cha 12000 channel 20 tu duuuuuh hapo 13 tu zinaonyesha loooooh!
Haki mna moyo wa chumaa
Haya mambo nimeyaona kwa broo wangu haki nimechekajeee
Aisee diallo kiboko
Watumiaji wa continental nyie mna moyo wa chumaa