Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,583
- 27,838
Wazungu ndiyo kundi ambalo lina Utamaduni wa kipekee ambapo Muoaji huchagua Mke kulingana na vigezo anavyovipenda yeye, kwa mfano rangi ya nywele, macho, kimo, umbo, tabia na hata akili, tofauti na tamaduni nyingine Duniani kama zetu au Asia ambapo waowaji huoa Mwanamke aliyepo na hakuna upendeleo wowote ule.
Kwa kuwa upekeee huu wa Utamaduni wa Muzungu wamekuwa wakiufanya kwa miaka mingi sana vizazi hadi vizazi umewasaidia pia kuwa na Familia bora na mwisho jamii na nchi bora (ingawaje maana ya bora ni relative lkn kwa kuwa wote tunaiga na kutaka kuwa kama Muzungu basi wao njia yao ndiyo bora).
Na ukitaka kulijua hili angalia tu kwenu ulipotoka na ongea na babu/bibi yako kama bado yu hai jinsi ambavyo walikutana na kuamua kuendeleza kizazi, ni jambo gani lililowaunganisha?
Hii hali ya sasa hivi ambapo na sisi pia tunachagua mtu wa kuoa/olewa tumeanza hivi karibuni tu, ingawaje ni mijini tu lkn ukienda vijijini bado watu hawachagui mtu wa kuendeleza naye kizazi kwa kigezo wakipendecho bali watu huamua tu kuendeleza kizazi kwa sababu muda wa kufanya hivyo umeshafika na haijalishi aina ya Mke/Me aliyepo, cha muhimu yupo na anazaa.
Ndo maana kwenye jamii yetu ni kawaida watu hata wasiokujua kuanza kukushambulia kwa nini hauoi/olewi wkt muda wa kufanya hivyo umeshafika na ukiwaambia haujapata anayekufaa hawakuelewi, hii ni kwa sababu kwenye Utamaduni wetu hakuna kuchagua mwenza ambaye ana vigezo unavyovipendelea wewe ambavyo unaona vinafaa kuendeleza kizazi chako, bali kuna muda wa kuoa kufika na wewe ni lazima uoe/uolewe, ...