kavulata JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 18,241 Reaction score 17,543 Jul 25, 2018 #1 Je, mtu akiandamana atakufa? Je, mtu akipita karibu ya watu wanaoandamana atakufa? na Je, Kuandamana kunasababisha vifo kwa namna gani?
Je, mtu akiandamana atakufa? Je, mtu akipita karibu ya watu wanaoandamana atakufa? na Je, Kuandamana kunasababisha vifo kwa namna gani?
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,597 Reaction score 29,528 Jul 25, 2018 #2 Wee andamana tuu utajua huko huko
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,292 Jul 25, 2018 #3 Mambosasa akiri risasi kutumika na mmoja kufariki | East Africa Television
MATHIAS KABYEMERA JF-Expert Member Joined Mar 7, 2013 Posts 1,793 Reaction score 573 Jul 25, 2018 #4 Watu wengine hawajui umuhimu wa maisha ya mwanadamu. Angekufa bintiye angetoa upuuzi alioutoa jana?
kavulata JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 18,241 Reaction score 17,543 Jul 25, 2018 Thread starter #5 MATHIAS KABYEMERA said: Watu wengine hawajui umuhimu wa maisha ya mwanadamu. Angekufa bintiye angetoa upuuzi alioutoa jana? Click to expand... Anataka kusema kuandamana kunaua. Kuandamana ni jambo lingine na kuua kwenye maandamano ni jambo lingine. Atafute mhalifu aliyeandamana na mhalifu aliyeua kwenye maandamano, inawezekana hawa wakawa watu 2 tofauti wenye kesi 2 tofauti kabisa.
MATHIAS KABYEMERA said: Watu wengine hawajui umuhimu wa maisha ya mwanadamu. Angekufa bintiye angetoa upuuzi alioutoa jana? Click to expand... Anataka kusema kuandamana kunaua. Kuandamana ni jambo lingine na kuua kwenye maandamano ni jambo lingine. Atafute mhalifu aliyeandamana na mhalifu aliyeua kwenye maandamano, inawezekana hawa wakawa watu 2 tofauti wenye kesi 2 tofauti kabisa.