Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,573
- 16,365
Wakuu bila shaka mko poa,
Kuna tweet moja trump akiwaonya Iran kaiandika kwa herufi kubwa the whole tweet sasa kwa sababu ni Trump watu wanasema ile ilikua ni kutilia msisitizo ujumbe wake (maybe its true) sasa najiuliza angekua mbongo angetolewa povu kua hajui kanuni za uandishi, ana dharau n.k. Tuache kutoleana povu vitu vidogo tuu.